Simba v/s Azam fc, Yanga v/s Oljoro JKT Live updates

Siamini kama hawa weupe wa msimbazi wanaifunga wanaifunga azam.nahisi hizi timu huwa zinapangiana nani ashinde le
 
yanga wamefanya mabadiliko. ametoka kavumbagu na kuingia jerry tegete. nsajigwa tayari kashachoka. kama vipi kocha ambadilishe coz anafanya anacheza ili mradi. msuva kazawadiwa kadi ya njano. mia
 
Haya yatakuwa ni maamuzi ya Mwanachama na Mpenzi mkubwa wa Mnyama ambaye ndo mmiliki wa hii team inayoitwa Azam,siyo bure
 
Ndo maana watu wanasema Azam haiwezi kuleta changamoto yeyote ya maana katika mpira wa Tz
 
yanga wamefanya tena mabadiliko. ametoka frank dunayo na kuingia nurdin bakar. Wakati huo huo simba wana goli tatu na azam wakiwa na goli moja.mia
 
100 embu tupe matokeo ya mechi ya ukweli kule Arusha,tuachane na hii mechi ya matokeo ya kupanga ya hapa Taifa
 
Kumbuka hao unaowaita "weupe" waliwakung'uta yeboyebo 5-0


Naona mkilala mkiamka bado mnawaza bao tano.hamjui kuwa zile zilikuwa ni njama za kumtoa mtu kwenye uongozi ili kuleta mabadiliko haya tuliyonayo? We umeona wapi game kubwa zinapigwa penati tatu na hamna anayelalmika?
 
Back
Top Bottom