rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,070
- 25,745
- Thread starter
- #21
Uko sahihi ila badala ya mashabiki kumkosoa afanye marekebisho wao wanamsifia na zile rafu zake anazofanya karibu na goli.Kosa kubwa la kagoma hafanyi scanning kabla haja receive mpira kitu kinachomfanya anarudisha nyuma mpira akifanyiwa pressing muangalie feisal salum yule ni complete player ana scan ana nyanyua kichwa kabla na baada ya kupewa mpira.