Simba (Tanzania) vs Ahli Shandy (Sudan)

Simba (Tanzania) vs Ahli Shandy (Sudan)

Simba wakifanikiwa kuwatoa al shand wanaenda hatua gan?

Okwiii gooo 3, Zitto na jezi yake namba 25 amepagawa, aweka uheshimiwa kando.
Simba wakiwatoa Ahly wanaenda kwenye hatua ya makundi .
 
hatua ya makundi (makundi mawili ya timu nne nne na watacheza kwa mfumo wa ligi) washindi wawili wa kwanza katika kila kundi wataingia hatua ya nusu fainali
Hakika tushaingia mkuu. Hakuna ubishi tena. Lol, yaani hakuna wakati ambao siku yangu huwa nzuri kama ambapo simba wanaamua kufanya mambo mazuri kama hivi.
 
Sisi hatuchezi ndondi uwanjani,bali soka la ukweli.
mwaka huu wetu,warabu wanatembezewa kichapo..
simba 3 vs al-ahal 0

waooooooooooooo!!
okwi and mafisango
 
Dah mbona siamini

ndugu yangu huamini nini sisi ndiyo simba wazee wa international football. wachezaji walishaahidi mwaka huu wafike fainali. tusubirie na kuwaombea

Yanga wajifunze ktk hilo siyo oooooooh mapinduzi wazee sijui wamefanyaje kisa uroho wa pesa mechi yao na watani
 
hatua ya makundi (makundi mawili ya timu nne nne na watacheza kwa mfumo wa ligi) washindi wawili wa kwanza katika kila kundi wataingia hatua ya nusu fainali
Safi sana mnyama...hongereni sana kwa ushindi huu mnono,kwa kweli mnastahili na nawaombea mfike nane bora na baadae final na hatimae mchukue ubingwa na kuliletea sifa taifa letu ambalo kila uchao linaporomoka katika viwango vya FIFA...Am proud of you Simba...Kwa pamoja TUNAWEZA....Go Simba go....Nipo pamoja nanyi mpaka mwisho watani zangu
 
Asante mkuu..............SIMBA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hakika tushaingia mkuu. Hakuna ubishi tena. Lol, yaani hakuna wakati ambao siku yangu huwa nzuri kama ambapo simba wanaamua kufanya mambo mazuri kama hivi.

Simba sasa wajiandae na fitina na hila za hao Waarabu Weusi.
 
Back
Top Bottom