Hapo ndo ninapoipenda simba when it comes to the international matches! Go Simba, tuwafundishe Yanga mpira wa kimataifa.dakika ya ngapi......
Simba wakifanikiwa kuwatoa al shand wanaenda hatua gan?
Simba wakifanikiwa kuwatoa al shand wanaenda hatua gan?
Okwi anafunga goli la tatu.