Simba (Tanzania) vs Ahli Shandy (Sudan)

Simba (Tanzania) vs Ahli Shandy (Sudan)

haruna moshi boban kafunga goli, pass imetoka kwa Sunzu dak ya 67.
 
Pamoja sana dubu,uendelee kutujuza. Hapa nilipo stesheni za TZ hazishiki,kenya zaidi ndo zinadaka.
 
Last edited by a moderator:
sipendi hawa watangazaji wa star tv na kiss fm, wanajifanya wao wanajua kila kitu kuhusu mpira. Ingieni basi na nyie tuwaone mtakavyokata mawowowoo yenu.
Mpira hauko hivyo kama mnavyofikiria.
 
safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mafisango ameenda kushangilia bao lake mbele ya washabiki wa timu ya Wazee, anawaomba washangikie lkn wamemchinia na kumkodolea macho kwa hasira.
 
Back
Top Bottom