Simba (Tanzania) vs Ahli Shandy (Sudan)

Simba (Tanzania) vs Ahli Shandy (Sudan)

Al Ahly timu piga simba bao 8 bila.Salamu ziwafikie Ismail Aden Rage na wachukia simba wote.Mungu ibariki Al ahly.

wazee.... yani na maisha yote ya leo mnakabidhi timu kwa vile vizee vichawi
 
Okey, nimesikia kuwa ni Mafisango....
Nani anayejua list ya simba ikoje??
Kama ifuatavyo: Juma Kaseja, Said Chollo, Amir Maftah, Shomari Kapombe, Kelvin Yondan, Patrick Mafisango, Uhuru Selemani, Mwinyi Kazimoto, Felix Sunzu, Haruna Moshi na Emmanuel Okwi.
 
Ninaona maendeleo makubwa sana upande wa polisi, wanawatazama watazamaji kinyume na tulivyowazoea polisi wetu. Au sheria za CAF zanawabana?
 
sipendi hawa watangazaji wa star tv na kiss fm, wanajifanya wao wanajua kila kitu kuhusu mpira. Ingieni basi na nyie tuwaone mtakavyokata mawowowoo yenu.
Mpira hauko hivyo kama mnavyofikiria.
 
Back
Top Bottom