Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Huyu nafasi yake ndo ilichukuliwa na MSUDAN, Shiboub na amesaimesaini deal ya miaka 3 pale Mazembe baada ya kumwacha
 
But jean vital ndo mbadala sahihi wa kotei..ni holding midfielder but msudani ni attacking....nimeangalia video zao for me jean yuko vizuri...And issue nyingine was zana..kulikua na kutokuelewana viongozi wengi hawataki asajiliwe but sijui anaempa nguvu zana ni nani but hatosajiliwa tena....
Huyu nafasi yake ndo ilichukuliwa na MSUDAN, Shiboub na amesaimesaini deal ya miaka 3 pale Mazembe baada ya kumwacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…