Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

UJINGA ni nipale unapomkimbia SIMBA sportpesa afu unakutana nae CECAFA patamu hapo...
 
jamani mechi za simba vs gor mahia na singida vs homeboyz sangapi? kuna mwenye link ya kutizamia online? msaada tafadhali
 
Salama n striker mzuri. Kwa game ya leo dhidi ya gor mahia hakuweza kua na sumu koz alkosa sapot kutoka kwa middle. Moddles walpoteana vbaya sana. 2nd balls zote zilkua zinachukuliwa na middo wa gor mahia.
Salama yuko vzur.
 
Jmn habar zenu Hum ndan mm n shabik wa simba but kwa week hiz mbil cna updates za timu yang nackia mtaan tu mara walikua wanacheza mara wamefungwa cjuw wamefungwa naomben mnipe mrejesho plz celew kinacho endelea
 
Jmn habar zenu Hum ndan mm n shabik wa simba but kwa week hiz mbil cna updates za timu yang nackia mtaan tu mara walikua wanacheza mara wamefungwa cjuw wamefungwa naomben mnipe mrejesho plz celew kinacho endelea
Hawata kupa jibu. Kitu kama six o'clock
 
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza rasmi kucheza na timu ya Asante Kotoko ya Ghana katika tamasha lake la Simba Day, Agosti 8 mwaka huu.

Kupitia kwa Ofisa Habari wa klabu hiyo, Haji Sunday Manara, amesema Simba itachuana na timu hiyo kongwe ambayo inashiriki Ligi Kuu Ghana kwa ajili ya kuitambulisha timu yao.

Manara amewatangaza Kotoko kucheza nao baada ya hapo awali kuenea kwa taarifa kuwa Simba imewaalika wapinzani wakubwa wa Gor Mahia FC, AFC Leopards kutoka Kenya lakini amezikanusha akisema hazikuwa na ukweli.

Katika msimamo wa Ligi Kuu Ghana, Kotoko wamecheza mechi 15 wakiwa kwenye nafasi ya 4 huku wakijikusanyia alama 24 na Ashanti Gold iliyo nafasi ya kwanza ina alama 27 ikiwa imecheza michezo 15 pia
 
Back
Top Bottom