Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,022
Sheria ya kadi 3 za njano ifutwe!
Sheria ya kadi 3 za njano ifutwe!
simba andamaneni sasa
Watakuelewa tu bila bilaMpira wa Tanzania: Uwanjani - Mezani - Kabatini - Chumbani - Sebleni.....
Niamini nilichokwambia mkuu Nifah maana nafuatilia ligiOoooopppssss,am confused
Hata sisi ya ajibu ilituuma sanatumesikia !hongereni yanga kwa kila kitu
Kwani bukoba hazipatakaniMechi ichezwe kagera point zitolewe dar
Kagera wana wachezaji hadi tffhapo poa, kagera piga mpira sasa
Basi kulikuwa hakuna sababu ya kuwa na sheri 17za sokaFaki awe na kadi 3 au asiwe nazo, ubingwa unapatikana kwa kushinda uwanjani.Ni aibu kubwa kwa timu iliyofungwa uwanjani eti kulalamikia point za walioshinda as if walichezesha zaidi ya wachezaji 11 uwanjani.
Kama wachezaji 11 wa Kagera walicheza na wachezaji 11 wa Simba na matokeo Simba wakafungwa 2-1, then Kagera wana haki zote za kuchukua point zao.
Ingekuwa aibu sana kwa soka la Tanzania na kwa timu ya Simba kama ingechukua ubingwa kwa msaada wa point za mezani.
Kama ulikua unashabikia kwa kuiba point za mtu mwingine tena mchana bora uache kushabikiaKuanzia leo rasmi nimeacha kushabikia mpira wa bongo..haiwezekani kamati hiyo hiyo inatoa point halafu inaipokonya timu kwa hoja dhaifu sana..
Kagera Sugar wanaweza kuwa na kosa lakini je sheria ilizingatiwa kwa mlalamikaji alifuata sheria kuwasilisha rufaa yake?
Kama wangewasilisha kwenye muda ilo suala la kadi ya njano ndipo lingeanza kufanyiwa kazi.
Kama ulikua unashabikia kwa kuiba point za mtu mwingine tena mchana bora uache kushabikia