Simba SC yapokwa pointi 3 dhidi ya Kagera Sukari

simba andamaneni sasa
383b15a9385d6ab5940c9c3cf9e112b0.jpg
 
Ni tanzania tu mambo kama haya ndio yanatokea., ivi mchezaji apewe kadi 3 isijulikane sasa mwezi umefika lakin cha ajabu simba anapewa point 3 na kikao halaf kikao chengine kinanyanganya tena point 3., ni vurugu mechi tu hakuna logic na systeam nzuri ya mpira wa miguu Tanzania ni piga ni kupige tuu.

sasa mambo kama haya yanatokea watu wanajiegemeza kuangalia soka la nje na ulaya ambalo hamna kero kama hizi mtakuja muandamane museme lazima watanzania waangalie mpira wa Tanzania tv za nje zifungwe.
 
Malinzi vs Wambura toka wakati wa FAT hana sifa ya kuwa kiongozi media tu zikimkuza naona kipindi cha Tenga soka iliheshimika kwa vilabu vyote si vikubwa wala vidogo vyote viliheshimu sheria
 
simba acheni uhuni,mngekaa kimya na kujipanga basi mngekua pazuri,lakini huu wizi wa mchanamchana mnahadhirisha soka.USHAUR ATAFUTWE ALIYEANZISHA HUU MCHEZO WA SIMBA KUDAI USHINDI WA POOL TABLE NA ALE MIKWAJU
 
Kuanzia leo rasmi nimeacha kushabikia mpira wa bongo..haiwezekani kamati hiyo hiyo inatoa point halafu inaipokonya timu kwa hoja dhaifu sana..
 
Faki awe na kadi 3 au asiwe nazo, ubingwa unapatikana kwa kushinda uwanjani.Ni aibu kubwa kwa timu iliyofungwa uwanjani eti kulalamikia point za walioshinda as if walichezesha zaidi ya wachezaji 11 uwanjani.

Kama wachezaji 11 wa Kagera walicheza na wachezaji 11 wa Simba na matokeo Simba wakafungwa 2-1, then Kagera wana haki zote za kuchukua point zao.

Ingekuwa aibu sana kwa soka la Tanzania na kwa timu ya Simba kama ingechukua ubingwa kwa msaada wa point za mezani.
Basi kulikuwa hakuna sababu ya kuwa na sheri 17za soka
 
Kuanzia leo rasmi nimeacha kushabikia mpira wa bongo..haiwezekani kamati hiyo hiyo inatoa point halafu inaipokonya timu kwa hoja dhaifu sana..
Kama ulikua unashabikia kwa kuiba point za mtu mwingine tena mchana bora uache kushabikia
 
Maamuzi hayapitwi na muda mpaka pale ligi inapokuwa imeisha. Azam walinyang'anya point miezi mitatu baada ya kuwa wamecheza mechi kwenye ligi iliyopita kwa kosa hilohilo walipocheza na prisons tena bila prisons wenyewe kuwa na taarifa.

Kagera Sugar wanaweza kuwa na kosa lakini je sheria ilizingatiwa kwa mlalamikaji alifuata sheria kuwasilisha rufaa yake?

Kama wangewasilisha kwenye muda ilo suala la kadi ya njano ndipo lingeanza kufanyiwa kazi.
 
Serengeti boys walitolewa na wale waCongo lakini CAF wamewarudisha mashindanoni. Fair play kwenye soccer ni pamoja na kuzingatia vigezo na masharti.

Kama ulikua unashabikia kwa kuiba point za mtu mwingine tena mchana bora uache kushabikia
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom