Simba SC yapokwa pointi 3 dhidi ya Kagera Sukari

fbff1ba9d6ad1c172b414e1b1bf75090.jpg
Mkuu, hapa ni baada au kabla ya Kagera Sugar kurudishiwa points zao?
 
K
Mlishinda?
Kwani Serengeti boys inavyokwenda kutuwakilisha Afcon under 17 ilishinda uwanjani? Si tulifungwa bahati mbaya walimchezesha mchezaji asiyestahiki wakaondolewa mezani. Mwaka ule tuliqualify Afcon sijui ni under 17 au 21 lakini kwa kumchezesha Nurdin Bakari tulipokwa point mezani na hatukwenda. Suala siyo point za mezani, ni kama Farki alistahiki kucheza ama la.
 
Hahahaaaaaaaa kama nakuona mkuu,umefurahije sasa?
TFF has made my day.
Wk nzima stress tu. Jion hii nachekacheka tu na kutabasamu kwa sana.
Halafu nikaamua kula ugali(dona) chakula cha matajiri kwa sasa. Roho nyeupeeeeee
 
Umesikia hukumu? Faki ni kweli ana kadi 3 za njano oooh Simba wamechelewa kupeleka lalamiko foolish
Faki awe na kadi 3 au asiwe nazo, ubingwa unapatikana kwa kushinda uwanjani.Ni aibu kubwa kwa timu iliyofungwa uwanjani eti kulalamikia point za walioshinda as if walichezesha zaidi ya wachezaji 11 uwanjani.

Kama wachezaji 11 wa Kagera walicheza na wachezaji 11 wa Simba na matokeo Simba wakafungwa 2-1, then Kagera wana haki zote za kuchukua point zao.

Ingekuwa aibu sana kwa soka la Tanzania na kwa timu ya Simba kama ingechukua ubingwa kwa msaada wa point za mezani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom