Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
simba andamaneni sasa
yanga imechukuaga mara mbili ubingwa kwa point hizo mbona haikua aibu..acheni unazi bas..ndio mana mnapewa pewa mnaishia kupigwa 4GFaki awe na kadi 3 au asiwe nazo, ubingwa unapatikana kwa kushinda uwanjani.Ni aibu kubwa kwa timu iliyofungwa uwanjani eti kulalamikia point za walioshinda as if walichezesha zaidi ya wachezaji 11 uwanjani.
Kama wachezaji 11 wa Kagera walicheza na wachezaji 11 wa Simba na matokeo Simba wakafungwa 2-1, then Kagera wana haki zote za kuchukua point zao.
Ingekuwa aibu sana kwa soka la Tanzania na kwa timu ya Simba kama ingechukua ubingwa kwa msaada wa point za mezani.
Mpira wa bongo nkama lig ya mbuzi auna mvuto wowote ata c fatiriagi lig ya kiboya kama iii
pole mtaniSisi wahaya tunampongeza Rais wa TFF na Katibu wake huo ndo uzarendo Hakuna cha kanuni wala nini hongeraa tutakupa jimbo la chadema uchaguzi ujao
Kombe halipatikani kwa mbeleko,mbinu za mikia zimefelniliwahi kuseme toka huyu muhaya kukalia kile kigoda simba wasahau ubingwa.
Ww hujua Mpira fambaa, Mpira una sheria na kanunu zakeFaki awe na kadi 3 au asiwe nazo, ubingwa unapatikana kwa kushinda uwanjani.Ni aibu kubwa kwa timu iliyofungwa uwanjani eti kulalamikia point za walioshinda as if walichezesha zaidi ya wachezaji 11 uwanjani.
Kama wachezaji 11 wa Kagera walicheza na wachezaji 11 wa Simba na matokeo Simba wakafungwa 2-1, then Kagera wana haki zote za kuchukua point zao.
Ingekuwa aibu sana kwa soka la Tanzania na kwa timu ya Simba kama ingechukua ubingwa kwa msaada wa point za mezani.
NooooMkuu huu msimamo umeinclude haya maamuzi ya kuwanyang'anya mikia points 3?
Ukisoma vizuri alichosema mwesiga, utagundua uamuzi huu umetokana na technicalities sio merit, assuming kagera walimchezesha faki akiwa na card tatu za njano, adhabu yao ni nini? Halafu kuna kitu kinanishangaza, hivi hii ni mara ya kwanza timu kupewa ushindi wa mezani?
Wakang'oe nyasi karumesimba andamaneni sasa
Hahahaaaaa nami ndio nimekula chakula hicho mkuu,kumbe mimi ni tajiri pia?TFF has made my day.
Wk nzima stress tu. Jion hii nachekacheka tu na kutabasamu kwa sana.
Halafu nikaamua kula ugali(dona) chakula cha matajiri kwa sasa. Roho nyeupeeeeee
Ooooopppssss,am confusedNdio mkuu
Maana baada ya simba a.k.a mezani or maandamano kupewa zile point walikuwa na jumla ya points 62...hapo Yanga (Bingwa mara 2) ana viporo ya mechi 2
Noooo
Haki ipi na wao ni wahuni waliogushi documents.... Mechi ilichezwa uwanjani simba akachapwa 2-1 ...haki ipi ya kumnyang'anya aliyeshinda na kumpa aliyefungwa!Tangu lini Simba wakapata haki chini ya Tifutifu.. Wakae kimya tu