Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,914
- 133,926
Mabingwa mara nne mfululizo leo wanakabidhiwa ndoo yao wakikipiga na Namungo FC. Hii ni katika mwendelezo wa kuchukua back to back 10
Raha SanaKagereeeeeeeeeeeeee 1
Go Go Go Simba 😄😃😂😁😀😀😅😅Mugalu
Wote Wanatoka SimbaNani anaongoza kufunga magoli ? Top 4 imekaeje ?
SIMBABocco....15
Mugalu....14
kagere...13
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Pesa inaongea sio kuleta habari za mihogo hapa.Bocco....15
Mugalu....14
kagere...13
![]()