Simba sc vs Biashara United kilichoonwa na jicho la Mugah

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Salam kwenu wanaJf

Natumai muuwazima wa afya njema kabisa na natumai Jana wengi wenu mlipata wasaa wakuangalia mechi ya Simba vs Biashara United pale kwa mkapa, kwenye hiyo mechi macho yangu yalibahatika kuona yafuatayo

Simba sc
Ndani ya kikosi Cha Simba sc ambae alikua mwenyeji wa mchezo niliona hivi

Benchi la ufundi
Bado kocha mkuu Pablo franco anakigugumizi hasa kuamua Nani acheze kwa muda gani na Nani aingie sab kwa muda gani mfano sub ya kumtoa John Bocco na kumuingiza kagere ili maliza wingi wa magoli kwenye mechi

Pia mtaalam wa viungo bado anaonyesha udhaifu wachezaji wanaonekana wapo kwenye low phisci na wapo Goi goi Sana kuwania mipira ya 50/50 na ndio unapoona kila mpira mrefu unaopigwa kwa Bocco huwa anaenda chini hata shomary na Inonga pamoja na zimbwe waliumia kutokana na aina hii ya mipira

Wachezaji waliofanya vizuri
Shomary kapombe
Dk 15 zilimtosha kuamua mechi kwa asist zake murua kabisa,anafanya kile ambacho zimbwe alikifanya msimu uliopita,Japo hakumaliza hata first half but kwangu ndio man of the match

Erasto Nyoni
Jana Nyoni alionesha kwamba anacheza holding mildfider kweli aliwin mipira mingi na accurate yake ya pass ilikuwa juu Sana

Peter Banda & Shakho
Wanaendelea kumpa kocha kilichobora na wanalipa fadhila kwa Imani wanayopewa

Mzamiru
Uwepo wake umeimarisha eneo la kiungo hasa kudetect mipira ikiwa kwa wapinzani

Chama
Bado hajafanya makubwa Ila anaonyesha matumaini tumpe mda

Bocco & Kagere
Kagere haelewi anafanya nini kiwanjani na hata movement zake ni wrong mda wote ndio maana hapati nafasi ya kufunga
Bocco yeye amekuwa na movement za kuvutia kumwangalia hasa team inapotengeneza mashambulizi Ila pass accurate yake imeshuka Sana ,level ya fizik yake imeshuka Sana Leo hii Bocco hawezi kuwin mpira mbele ya mabeki wa kawaida Sana tofauti na last season

Waliotoka sub
Walicheza vizuri Sana Ila Kennedy ndio alikuwa Bora zaidi Ila Israel na Gadiel bado wanakazi ya kufanya ili wawe first 11

Biashara United
Benchi la ufundi
Vivie Bahati alikuja na plan nzuri na ilifanikiwa Ila Quality ya wachezaji ili wahukumu dk 15 za kwanza

Wachezaji
James setuba
Bonge la kipa japo on Target 75% zimepita Ila alionesha uhai

Defensi
Mangalo ,Maganga na Abdalah/bundala walipaform vizuri waliblock washambuliaji wapembeni wa Simba wasilione goli ama kuingia ndani ya box

Mildfider
Hapa utamkuta Mwamba moja wanamuita Awio alikuwa Bora Sana alichachafia Sana hakika alikuwa Bora Sana

Ramadan chombo
Redondo kwenye ubora mkubwa Sana aliounyesha Jana hakika jamaa ndio A.M Bora raia wa Tanzania kwa saivi hapa ajibu analakujifunza

Judica mafie
Alikuwa bora Sana alithubutu Sana na ndio alikuwa man of the match kwa biashara Jana

Washambuliaji
Christian ziga na Atupele Green
Hawa jamaa wanamovement Ila ziko low Sana japo hawakupata clear chance ambazo macho ya kawaida yangewahukumu Ila wao ndio waliomhakikishia kakolanya cleensheet

Waamuzi
Walikuwa Bora Sana labda kwakuwa mchezo hukuwa na matukio mengi ya utata japo line two Kuna offside alidanganya

Wandefull match ya wachezaji Quality ya kushindana car competitions
 
Wewe labda ukachambue mchele sio mpira(joke)
Katika viungo hovyo basi ni hugo mzamiru yassini, kiungo pass accuracy mbovu hana mfano, ni vike simba inapendezeshwa na uwepo wa chama na sakho(japo sakho sasa kucheza na jukwaa kunamzidia)

Kiukweli jana ukiacha dakika za mwanzo tulipopata na magoli, nyingine zoote biashara walikuwa bora kushinda sisi, wana mikimbio safi, katika uliowataja ongezea na christian ziga halafu kuna midfielder moja iliingia baadae inaujua saana mpira..
Boko uwanjani ndio alikuwa anakimbia kimbia tu katika mipira mingi kapoteza, afadhali hata kagere.. Simba inahitaji mshambuliaji haswaa

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Bocco touches zake zimekuwa mbovu Ila ana move kwenye correct zone

Mzamiru uzuri wake uko kwenye commitment yake
 
Wewe labda ukachambue mchele sio mpira(joke)
Katika viungo hovyo basi ni hugo mzamiru yassini, kiungo pass accuracy mbovu hana mfano, ni vike simba inapendezeshwa na uwepo wa chama na sakho(japo sakho sasa kucheza na jukwaa kunamzidia)

Kiukweli jana ukiacha dakika za mwanzo tulipopata na magoli, nyingine zoote biashara walikuwa bora kushinda sisi, wana mikimbio safi, katika uliowataja ongezea na christian ziga halafu kuna midfielder moja iliingia baadae inaujua saana mpira..
Boko uwanjani ndio alikuwa anakimbia kimbia tu katika mipira mingi kapoteza, afadhali hata kagere.. Simba inahitaji mshambuliaji haswaa

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Aisee Tanzania ina wachambuzi😋😋😋😋 naona ndiko tulikowekeza ...tunashindana na Burundi vibonde wenzetu!
Sisi tumewekeza Kwa uchambuzi ,wenzetu makocha!
By the way mchambuzi ...hivi mikimbio ndio Nini...Nacho ni Kiswahili au Kizaramo?!
 
Yaani Setuba ni bonge la kipa wakati 100% ya on target za Simba first half ilikuwa ni magoli?
 
Back
Top Bottom