simba wameanza kwa kasi kidogo
Kwani maharage kalipa hiyo m25 au
JF leo wanazingua
Kweli nimeamini mchawi si lazima abebe tunguri.Hakuna kitu, leo SIMBA asipo pigwaa anatoa droo
Thubutu...!Ashanti sawazishen hilo goli'
ameshachoka huyo atandike tu daruga.henry joseph anapoteza sana mipira