Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
Kitachomekwa kwa ashanti na kitakatikia kwao.Kipindi cha pili Ashanti watarudi kukichomeka ili kikatikie humo humo.
Kitachomekwa kwa ashanti na kitakatikia kwao.Kipindi cha pili Ashanti watarudi kukichomeka ili kikatikie humo humo.
wazee wa ndala utawaona wamerudi, walikuwa hawamo humu
Thubutu...!
wazee wa ndala utawaona wamerudi, walikuwa hawamo humu
Viva ashant wapige wang'oe magoli leo.
Simba hatii huruma hata siku moja.simba sasa mnatia huruma.. Nawaonea huruma saanaaaaa..
hahahaah! Unatazama mpira au unamtazama kibadeni?Halaf kama kibadeni kafanana na sir elton john hv au mimi macho yangu mabovu.
Nimethubu mkuu.
Azam TV wako vizuri, nimewakubali. Jambo la msingi wapate masafa yao. Wamedhamiria kufanya kweli.
wazee wa ndala utawaona wamerudi, walikuwa hawamo humu
Azam TV wako vizuri, nimewakubali. Jambo la msingi wapate masafa yao. Wamedhamiria kufanya kweli.
Hawajalipa, wamekubali kulipa. Wanacheza kwa mkopo wa 25m/= (on credit) hii inanikumbusha kuna vijana wanyawima wanaoshughulika na kazi za ujenzi hula chakula kwa madeni hadi mkandarasi atakapowalipa, wakati mwingine hata wakihitaji kuliwazwa kimapenzi na wale wapishi pia hupata huduma hiyo on credit. Hawa ndiyo Simba bana.