Simba SC inatia hasira na fedhea sanaa

Nimetukana huko kwa page ya team, nimeenda kwa page ya Ahmed Ally nimemchamba.

Nasubiri kesho niingie kwa Chama mwenyewe namchamba, si anajifanya anatema mbovu kwa comment, kesho ntamfurahisha.

Simba inakera na kuudhi mnoo, aaaah.
We dada punguza hasira
 
Kwani kumetokea nini mpaka ukafikia hiyo hatua ya kutukana na kuchamba kiasi hicho kwenye page za watu!
 
Mazungumzo yakumrudisha Okwi pia yameanza huko.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Simba mipango imeisha.
Mbona Hata Onyango atarudi, muhimu simu yake iwe On, Mangungu anapigia Simba Veterans wotee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bado CHAMA ana mswada pale ..Tuache mihemko.....
After all washabiki ndio tunao sababisha pressure club inatumia na kusajili kila wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…