FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

Heparin

Senior Member
Sep 24, 2021
156
584
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex.

Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja.
Mechi hii itapigwa saa 1:00 jioni. Karibuni tufuatilie game hii.

20240521_185816.jpg

Kikosi cha Simba SC

20240521_190027.jpg
Kikosi cha Geita Gold
 
Kila la kheri Mtani ni aibu Azam Kucheza klabu bingwa halafu Kolozidad acheze rede na kina Red arrows
 
Back
Top Bottom