Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,536
- 30,604
Timu ya taifa ya Malawi Duncan huwa anacheza kama huwa anacheza kwenye midfield 3 upande wa kushoto.Duncan ni mzuri sana inabidi achezeshwe
Sijajua kwa nini sisi tuna prefer kumtumia kama winger ya kulia.