Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Mkuu Samahan naomba unisimulie sijaangalia mechi...Dkk Za nyongeza kacheza Simba peke yake?
Dk za nyongeza ni kwa ajili ya kufidia muda uliopotea

Kipindi cha kwanza iliongezwa 1 kwa maana hakukuwa na muda uliopotea kama ilivyo kipindi cha pili

Kuongeza dk 5 Ili Hali hakukuwa na upotevu wa dk hizo ni ubwege

Walicheza wote, ila mmoja alikuwa pungufu kwA maana Iyo dk zilizo ongezwa zilikuwa na faida kwa timu moja zaidi ya nyingine
 
Wacha unazi wewe.
Kipa wa Namungo kipindi cha pili amelala kutibiwa mara tatu. Molinga kutoka hadi anasisitizwa na refa.
Kwa nia ya kupoteza muda Tu.

Kipindi cha kwanza golikipa hakulala kusingizia kuumia ndio mana muda haukupotezwa.

Yanga kila mwanzo wa msimu huwa mnajipa matumaini sana na ubingwa juu.
Tumesha wazoea.
 
Kwa hiyo ukimtia Dole mwamuzi unatakiwa update njano tu!!?
Mkuu relax uwe na maisha yasiyo na mafundo moyoni. Kamati husika ya masaa 72 ilishakaa na kujadili kitendo kile na kutoa maamuzi yake. Bahati mbaya hakuna aliyejitokeza kupinga adhabu kuwa ni ndogo au kubwa. Wakati mwingine tunapodai haki tuwajibike vile vile. Leo hii usingekuwa una donge moyoni kama ungejitolea muda na rasilimali zako kupinga adhabu iliyotolewa na Kamati ya Masaa 72 kuwa ni ndogo, bahati mbaya ulibaki kimya, au pengine hata hujui kwamba ilijadiliwa na kuamuliwa kwa namna hiyo. Maamuzi yalikuwa haya, just kwa faida yako tu:

1636015700567.png
 
Walicheza wote, ila mmoja alikuwa pungufu kwA maana Iyo dk zilizo ongezwa zilikuwa na faida kwa timu moja zaidi ya nyingine
Simba mara kadhaa imecheza dhidi ya Yanga ikiwa pungufu, lakini ikashinda na Yanga wakawa wakiomba mechi iishe mabao yasiongezeke. Sio hoja ya msingi kusema kwamba timu ikiwa na wachezaji pungufu haiwezi kupata magoli au matokeo mazuri
 
Kwa namna Simba inavyocheza ni Bora Mechi zao zichezwe saa 8 mchana pale uwanja wa zamani wa taifa. Nimatumizi mabaya ya nyasi za uwanja na umeme wakati Kiwango Chao ni Cha hovyo. Simba ya Sasa inaitaji refa aji dhalilishe ili Simba ipate matokeo.
Kama sisi yanga tulivyobebwa juzi
 
Wakati tunamsubiria jaji mahakamani baada ya break fupi tungeendelea kulijadili goli la Kagere
 
Watu wakiwa mtandaoni wana jeuri sana, "ooh kwa simba hii ilivyo mbovu leo hawatoki wamejitahidi sana basi sare"

Lakini kwenye mikeka wanaibetia simba

Kumbe kuna namna ambayo mnaikubali simba ila hamtaki weka bayana?

Sasa hapo si unaidhurumu nafsi yako bure kwa kujifanya huipendi simba na wakati kwa namna moja au nyingine inakulisha?
 
Back
Top Bottom