Hii biashara angekua Juma Mgunda ingeisha mapema Sana. Mzungu anaweza kuwa mbishi kidogo.....Simba vs tawi
Simba tuna matawi mangapi?Simba vs tawi
Hebu yataje matawi ya simba tujue mapema kabisa tukichukua ubingwa msilielie.Leo mnacheza na tawi lenu hata 10 mtashinda tu
Waweke ahadi wakati wanajua watakuwa wanajisumbua tu. Mtoto ana mapenzi ya dhati kwa baba yakeLeo ni Mkubwa na Mwanae.
Sijasikia ahadi za fedha zikitolewa kwa Coast toka kwa Viongozi wenye mahaba na Yanga.
Sako ashindwe mwenyewe tu kupiga goli 3 ili aondoke na mpira wake.
Hahahaha kwa simba Ipi? Hii ya kutafuta penati za kiwakiUshindi mwembamba leo kwa simba uwe goli 3
Kwa simba ya sasa hivi hata icheze simba A na B kupata matokeo ni ngumu yupo mugalu pale hata abaki mwenyewe anakosaLeo ni Mkubwa na Mwanae.
Sijasikia ahadi za fedha zikitolewa kwa Coast toka kwa Viongozi wenye mahaba na Yanga.
Sako ashindwe mwenyewe tu kupiga goli 3 ili aondoke na mpira wake.
Account number ipi ili uweze kuangalia?Wajumbe, Yeyote Anaye Tumia King’amuzi Cha Azam, Anisaidie Basi Account Number Yake Niangalie mpira
Coastal unionHebu yataje matawi ya simba tujue mapema kabisa tukichukua ubingwa msilielie.
Matawi ya yanga ni yapi!? Leo najifunza mengi.Coastal union
Azam fc
Namungo
Bila kupulizia Chloroform timu pinzani, yanga hamuwezi chochote. Imekuwa tabia yenu kunyunyiza chloroform kwa timu pinzani.Bila kupewa penati leo Makolo fc hawatoboi
Hako katawi kenu kakujazia kibaba kanajulikanaUshindi mwembamba leo kwa simba uwe goli 3
Na nyie mngewapulizia Jwaneng Galaxy wasingewapiga kichapo cha mbwa koko pale kwa mkapaBila kupulizia Chloroform timu pinzani, yanga hamuwezi chochote. Imekuwa tabia yenu kunyunyiza chloroform kwa timu pinzani.
Hapo wangemuweka refa katika kikosi maana ndo mtu pekee anaeupiga mwingi na kuokoa jahazi
Sisi hatufanyi mambo ya kishetani kama yenu.Na nyie mngewapulizia Jwaneng Galaxy wasingewapiga kichapo cha mbwa koko pale kwa mkapa