NILIYO YAONA 1.Simba tuna timu nzuri shida ni umaliziaji. Boko anaitaji kuanzia bench na nafasi apewe kagere. 2.Mkunde ni mkude tu labda umnyanganye njumu tu ila mpila anaujua 3.Bwalya alichoka, kipindi cha pili alitakiwa kuwa bench maana mpira ulipoa ulipofika miguuni mwake wakati simba waliotaji kumbia sana. 3. Muhilu alitakiwa asubiri mechi ijayo alishindwa kuusoma mchezo kabla ya kuingia. 4.Kocha ni mgonjwa wa kufanya sub na kupanga kikosi, bench la simba linaitaji mabadiliko ya haraka sana. 5.Molisoni alikua bora sana leo nampa 9/10 6. Refa alishindwa mchezo, yule aliyemsababishia inonga kadi alipaswa naye kula nyekundu kwani lile ni kosa la violence ambalo ni kadi nyekundu pia. Wote walipaswa kutoka uwanjani. 7.Cost walipaswa kucheza nane uwanjani maana yupo aliyemchezea kibu dangerous foul akiwa na njano na lefa akapeta. 8.Mwisho mashabiki tuwe watulivu hii ni mechi ya 4 tu, tuwatie moyo wachezaji watatupa kile tunacho kitaka muda bado wanao wakurekebisha mapungufu yao.