Simba tunanyimwa penati ya wazi dakika ya 2. Huyu refa MBAGA anaibeba Yanga
Hahaha,Simba acheni kulialia bwana,cha msingi tusubiri dakika 90 tu..Mnalia sana
Refa anatakiwa kumlinda Okwi
Hahaha,
Simba kama Chelsea vile... Ushindi LAZIMA.
Si mchezo