Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,269
- 7,775
Wamesonga ugali badala ya kusonga mbeleSimba itawashangaza wengi.. sahiv wanauzoefu wa kutosha na haya mashindano nawapa nafasi kubwa ya kusonga mbele

Njoo uedit ugolo wako bado una nafasiNajua uto hamuamini timu lenu kama litafuzu kutoka makundi, basi kwa wivu wenu wa kikekike, huku mkijua wazi mnyama ataua mtu leo, mnaamua kushupaza shingo tu! Haya chagua jina kama simba atafuzu tukuite nani?
a) amisa viuno laini
b)athma tako mbinuko
c)utamu burebure
Robo au sioKwa yanga upo sahihi ila Mnyama lazima aende robo
Hawawezi kukuelewa hapa kaka!!Wote wataishia kutolewa katika hatua ya makundi.
Sioni timu yoyote ya Tanzania iliyovizuri katika michuano ya kimataifa.
Kwahyo nawaomba mpunguze matarajio makubwa vichwani vyenu
Naendelea kuwakumbushaWote wataishia kutolewa katika hatua ya makundi.
Sioni timu yoyote ya Tanzania iliyovizuri katika michuano ya kimataifa.
Kwahyo nawaomba mpunguze matarajio makubwa vichwani vyenu
Unakazwa.Nakazia
Unaliwa na wachawiUnakazwa.
Uzi wako unachanika leoWote wataishia kutolewa katika hatua ya makundi.
Sioni timu yoyote ya Tanzania iliyovizuri katika michuano ya kimataifa.
Kwahyo nawaomba mpunguze matarajio makubwa vichwani vyenu
😂😂Wote wataishia kutolewa katika hatua ya makundi.