Simba mmefanikiwa kusonga mbele lakini rekebisheni mapungufu yenu haraka kabla amjakutwa na aibu mbele ya safari

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,723
Ni jambo la kushukuru kwamba simba imeingia hatua inayofuata kwa msaada wa matokeo ya nyumbani baada ya kupata magoli mengi, lakini pamoja na ayo simba hii inayo mapungufu kibao kuanzia safu ya ulinzi na kiungo.

Endapo Red Arrows wangeongeza ubora wao angalau kidogo sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine, tatizo lililowaangusha red arrows ni ubutu wa safu yao ya ushambuliaji na beki zao za kati haziko makini pamoja na uzoefu pia imekuwa tatizo kwao.

Kwa upande wa simba shida kubwa ipo kwenye safu ya ulinzi wanakabia macho na mipira ya krosi imekuwa donda ndugu kwao. Pia kiungo cha Jonas Mkude na Kanuti kumekuwepo na shimo katikati yao kutokana na mkude kuwa taratibu Sana akipiga square pass nyingi na kanuti anacheza mpira wa taratibu Sana.

Watu hao 2 wakikutana na timu ambayo inacheza mpira wa kasi watalaumiwa bure, Simba rekebisheni makosa yenu mapema vinginevyo msije mkaanza kuwananga wachezaji kuwa wamewahujumu timu yenu bado Sana kiufundi na kibaya zaidi yamekuwa ni mapungufu ya kujirudia rudia ina maana kocha ajaona icho kitu au anasubili aibu tarehe 11🤣🤣🤣🤣
 
Hilo halina ubishi ngoja tar 11 tuone kama tuna kocha au ni uzushi.
 
... au anasubili aibu tarehe 11🤣🤣🤣🤣

Hivi karibuni kumeshatokea aibu zaidi ya hii? :

1638717905875.png
 
Mbona unaanzisha uzi na kujichekesha
🤣🤣🤣
Nadhani hujui tofauti ya michuano hii, ya CAF na ligi ya Bara
Nyie akuna cha ligi ya bara wala nini, mapungufu yenu yapo kote kote mnayo bahati tu mmekuwa mnakutana na timu ambazo zinashindwa kuwapelekea moto, rejea mechi ya geita gold uliona kitu gani ebu niambie, pia rejea mechi na ruvu shooting uliona nini,,,,Kama unauelewa mpira na sio shabiki oya oya utanieleza ulichokiona kwenye izo mechi kiufundi na sio blah blah!
 
Nyie akuna cha ligi ya bara wala nini, mapungufu yenu yapo kote kote mnayo bahati tu mmekuwa mnakutana na timu ambazo zinashindwa kuwapelekea moto, rejea mechi ya geita gold uliona kitu gani ebu niambie,,,,pia rejea mechi na ruvu shooting uliona nini,,,,Kama unauelewa mpira na sio shabiki oya oya utanieleza ulichokiona kwenye izo mechi kiufundi na sio blah blah!
Si mlitoa sare na Namungo nyie? Mngewafunga basi maana walifungwa na Simba yenye mapungufu 🤣🤣🤣
 
Sisi tunaangalia namna ya kuvuka Group Stage, manyani yanaangalia namna ya kushinda tarehe 11
Mashabiki wa ovyo ovyo Kama wewe atuwezi kujadiliana nao masuala ya mpira, we unafikiri utakuwa unakutana tu na timu Kama iyo siku zote, unaambiwa mrekebishe makosa yenu ambayo mmekuwa mkiyaonyesha kwenye mechi zote mlizocheza hivi karibuni wewe unapuyanga kwenye ushabiki mandazi tu, ujui ayo makosa ndo yalitaka kuwagharimu kwa Mara nyingine, Ongea masuala ya mpira kiufundi sio unakurupuka tu kuleta mipasho ambayo aitowasaidia chochote
 
Nyie akuna cha ligi ya bara wala nini, mapungufu yenu yapo kote kote mnayo bahati tu mmekuwa mnakutana na timu ambazo zinashindwa kuwapelekea moto, rejea mechi ya geita gold uliona kitu gani ebu niambie,,,,pia rejea mechi na ruvu shooting uliona nini,,,,Kama unauelewa mpira na sio shabiki oya oya utanieleza ulichokiona kwenye izo mechi kiufundi na sio blah blah!
Huu ni unyani.

Nyie msio na mapungufu mnashiriki mashindano gan ya kimataifa?

Kazi kujitoa fahamu tu. Au Ndiyo uzuzu wenyewe.
 
Si mlitoa sare na Namungo nyie? Mngewafunga basi maana walifungwa na Simba yenye mapungufu 🤣🤣🤣
Kutoa sare sio ishu unaangalia timu imechezaje mpaka itoe sare, ebu nieleze mapungufu ya yanga kwenye ile mechi ya namungo nione Kama kweli wewe unaujua mpira
 
Kiukweli mechi ya Leo muda mwi give nilishika kichwa kwa simanzi kubwa kuiona Simba yangu inacheza mchezo wa hovyo bila mipango..huu mwaka tuko hovyo Sana.

Binafsi naona shida namba 8 na 10.NNapendekeza Bwaliya acheze 8 na 10 tumrudisha chama haraka au aletwe na 10 mwingine wa maana.

Wawa pia amefika mwisho..
 
Kutoa sare sio ishu unaangalia timu imechezaje mpaka itoe sare, ebu nieleze mapungufu ya yanga kwenye ile mechi ya namungo nione Kama kweli wewe unaujua mpira
Udhaifu ni kushindwa kupata goli kwa dakika zote hadi refa alipoona mtu amegongwa
 
Huu ni unyani.

Nyie ndio na mapungufu mko mnashiriki mashindanot gan ya kimataifa?

Kazi kujitoa fahamu tu. Au Ndiyo uzuzu wenyewe.
Umbumbumbu wenu utaonekana iyo trh 11, Kama kocha wenu atakuwa na akili Kama zako tutashuudia viti vikivunjwa kwa Mara nyingine pale kwa mkapa
 
Nyie akuna cha ligi ya bara wala nini, mapungufu yenu yapo kote kote mnayo bahati tu mmekuwa mnakutana na timu ambazo zinashindwa kuwapelekea moto, rejea mechi ya geita gold uliona kitu gani ebu niambie,,,,pia rejea mechi na ruvu shooting uliona nini,,,,Kama unauelewa mpira na sio shabiki oya oya utanieleza ulichokiona kwenye izo mechi kiufundi na sio blah blah!
Tungeshauriwa na timu inayoshiriki michuano ya CAF, hapo sawa. Sasa utopolo wanashiriki nini?
 
Nyie akuna cha ligi ya bara wala nini, mapungufu yenu yapo kote kote mnayo bahati tu mmekuwa mnakutana na timu ambazo zinashindwa kuwapelekea moto, rejea mechi ya geita gold uliona kitu gani ebu niambie,,,,pia rejea mechi na ruvu shooting uliona nini,,,,Kama unauelewa mpira na sio shabiki oya oya utanieleza ulichokiona kwenye izo mechi kiufundi na sio blah blah!
Tungeshauriwa na timu inayoshiriki michuano ya CAF, hapo sawa. Sasa utopolo wanashiriki nini?
 
Kutoa sare sio ishu unaangalia timu imechezaje mpaka itoe sare, ebu nieleze mapungufu ya yanga kwenye ile mechi ya namungo nione Kama kweli wewe unaujua mpira

Kuna mtu amekuomba ushauri?, kama unajua sana kushauri, si ungewapa utopolo walioenda kimataifa wakapigwa nje ndani. Hii michuano ya kimataifa sio saizi yako.
 
Back
Top Bottom