Hiyo ni sehemu ya mchezo na ndiyo maana hukumuona mwanasimba anapiga makelele humu kama nyinyi kwa mambo yasiyo wahusu. Nilitarajia Prisons ndiyo wapige kelele lakini kinyume na matarajio unakuja na uzi wako usio hata na chembe ya ukweli eti Ibrahim Ajibu alikuwa na kadi za njano 5. Kweli yanga mnafanana akili zenu, halafu mkiambiwa ukweli mnasema tumetumia lugha kali.Usisahau ya simba kumchezesha musa hasan mgosi,na wakalimwa point, mbumbumbu hukumbuka ya jana jioni na kamwe hakumbuki ya juzi
Ongea vizuri unaturushia mateJitahidi kutumia rugha nyepesi ,kama unahasira sana mnase kibao tujue unahasira
Uturuki kuna wazungu kule? Na kwanini mlimfukuza Kocha Ernie kwa kusema ukweli kilichotokea Mbeya wachezaji wa Yanga walipokutwa wamelaliana mzungu wa nne?Lini mtakwenda tena arabuni? Naona Nyoso alinogewa na kale ka-mchezo kenu ka kukunana njia za vinyesi.
Lugha ngumu iko wapi hapo, wakati mtu amejita mwenyewe ana akili za kinyesi cha mbuzi. Rudi juu kasome uzi wake mpwa.
Unashangaa hilo la ligi ikiisha ataendelea na adhabu so rahisi tu kama tumecopy na kupaste tunaendelea angalia wanafanyaje nasi tunafanya hvyo hvyo kwan ktk sheria 17 kuna tulizozitunga sisi hata moja?mbona kwa mfumo wa ligi ya mwaka huu mchezaj anacheza mechi 3 zidi ya timu moja?Ni kweli mchezaji alikuwa na kadi tano za njano lakini kumbe TFF wamebadili kanuni ! Sasa hivi timu inachagua akose mechi gani siyo automatic kwamba ni mechi inafuata baada ya kupata kadi tano za njano. Kwa mtaji huu, ikiwa imebaki mechi moja kumaliza msimu sijui watafanya nini kama timu itaamua akose mechi ya msimu ujao harafu wakamuuza mchezaji mwenyewe.
Hivi EPL, La Liga na nyingine kama hizo za ulaya ambako tuna copy na paste, wanafanya katika hali hiyo?
Mkuu tayari ishabitika kwamba hiyo kanuni ipo na ishaanza kutumika, sasa mlitaka Simba wasiruhusiwe kumtumia wakati kanuni inaruhusu.Kumbuka hiyo kamati inaongozwa na Geofrey Nyange Kaburu unategemea nini hapo!!
Huyu si ndo aliwaambia simba waandike barua ya kuiomba tff iwaruhusu simba kumchezesha Ajibu kwenye mechi dhidi ya Prisons na yanga!!!! halafu asicheze mechi ya mtibwa!? Nina mashaka na hayo maamuzi yatakayo fikiwa kwenye hiyo kamati itayoketi hapo Jumanne. Nadhani yatakuwa ya kuibeba timu fulan bila kujali kanuni za ligi zinasemaje!, kama desturi ya viongoz wetu wa pale tff.
Kama kweli hiyo kanuni ilishaanza kutumika kwa nn vilabu vingi vinashangazwa na huo utaratibu uliotumika kumchezesha Ajibu!!!Hapo mkuu mnadanganyana tu hakuna pointi zitakazochukuliwa, kanuni ile ilishaanza kutumika tayari na Katibu wa TFF ndugu Mwesigwa amewaambia Yanga kama nao wanataka kuitumia hiyo kanuni wawasilishe tu maombi yao siku moja kabla ya mechi nao wataruhusiwa na sio kutaka Simba wapokwe pointi zao wakati walifuata taratibu zote za kumchezesha huyo bwana mdogo.
Kama kweli hiyo kanuni ilishaanza kutumika kwa nn vilabu vingi vinashangazwa na huo utaratibu uliotumika kumchezesha Ajibu!!!
Tafakari....
Kama kweli hiyo kanuni ilishaanza kutumika kwa nn vilabu vingi vinashangazwa na huo utaratibu uliotumika kumchezesha Ajibu!!!
Tafakari....
prisons wameshangaa wanadai wametumiwa msg ya hizokanuni 1hr kabla ya mechi unahisi kunakanuni uhuni??kanuni inaanzaje kutumika kabla ya kupitishwa na mkutano mkuu?