Simba kukata rufaa goli la chirwa wadai aliotea

[HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Nyote Muna akili za Chura!
Katika Press Conference nzima hakukua na hata sehemu moja Manara aliyoilalamikia TFF...
Manara aliolalamikia ni Unaa was Marefa uwanjani na wala so nje ya uwanja (TFF)...

Mpira hauchezeshwi na TFF, Bali Ndani ya Pitch anaesimama ni Refa..

So, jifunzeni ufahamu....
Mpira uwe mpira. Kwa Mwakyembe ni siasa tu. Genuine issues za mpira lazima ziende TFF sio kwa Waziri.
Lakini kwa mambumbumbu, kila kitu kinawezekana. Akili za kushikiwa na Manara na akina Makofia
 
[HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Nyote Muna akili za Chura!
Katika Press Conference nzima hakukua na hata sehemu moja Manara aliyoilalamikia TFF...
Manara aliolalamikia ni Unaa was Marefa uwanjani na wala so nje ya uwanja (TFF)...

Mpira hauchezeshwi na TFF, Bali Ndani ya Pitch anaesimama ni Refa..

So, jifunzeni ufahamu....
Kama ndivyo kwanini kipindi kile hamkuwalaumu marefa badala yake lawama za kushindwa kwenu mliwatwisha kina Malinzi! Na msimu huu mjiandae kisaikolojia!
 
Back
Top Bottom