sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Jana hakuna "there is only one kaseja"kamoja tuuuuuuuu
well, unanswered question; huyu Simba ni jinsia gani? aliempakata ni Mwanamme, nisaidieni labda sielewi ila na mimi pia nilipita nikacheka sana, well hata kama ni promo mmmhhh
Huyo simba ni shosti bila shaka
Na kapakatwa kweli, tena gizani sasa sijui kama Yanga aliishia kumpaka au alimnanihiiKijitonyama maeneo ya makumbusho barabarani kabisa kuna hii pub mpya imefunguliwa.Nahisi bia za pale zina raha ya ajabu kutokana na jina lake.![]()
![]()