Simba hatochukua ubingwa wowote msimu huu.

Simba hatochukua ubingwa wowote msimu huu.

Sasa timu yenyewe inategemea msaada wa waamuzi ndiyo ishinde! Waamuzi wasipokuwa tu wa mchongo, timu inafungwa!
 
H
Hiyo avator na mawazo yako ni vitu viwili tofauti mkuu.

Mara nyingi umekuwa na Michango ya Kijinga isiyo na Maana hapa JF.

Leo umegeuka Mungu.
Sheck yahaya
Au mtabiri Tambitambi???????

Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa Mwili.
hahahahaha ,hahahahaha
 
Simba wanajenga Timu yaani wao chochote wanachokipata wanatakiwa kuwa tayari sasa wamefika Mbali wanajisahau malengo Yao wanajifananisha na Yanga ,hii inapeleka wanakosa malengo na kupelekea msemo WA wahenga kutumia"Mtakatifu yote kwa pupa hukosa yote"
 
Kutokana na kiwango kisichoridhisha cha hii timu ni dhahiri msimu huu hii timu haiwezi kuwa bingwa kwenye mashindano yoyote inayoshiriki. Kuna uwezekano mkubwa Yanga akatetea makombe ya Crdb confederation na cha ligi ya Nbc. Kombe la shirikisho Afrika wote tunajua kilichobaki ni kukamilisha ratiba tu, Berkane wameshalibeba.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
JamiiForums1222824732.jpeg
 
Hiyo avator na mawazo yako ni vitu viwili tofauti mkuu.

Mara nyingi umekuwa na Michango ya Kijinga isiyo na Maana hapa JF.

Leo umegeuka Mungu.
Sheck yahaya
Au mtabiri Tambitambi???????

Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa Mwili.
SAWA
 
Vipi bado una maneno mengine ya dhihaka na kejeli kwa mleta uzi? Msimu mwingine tena mliyotoka patupu bila taji lolote lile.
 
Hiyo avator na mawazo yako ni vitu viwili tofauti mkuu.

Mara nyingi umekuwa na Michango ya Kijinga isiyo na Maana hapa JF.

Leo umegeuka Mungu.
Sheck yahaya
Au mtabiri Tambitambi???????

Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa Mwili.
Mkuu vipi unasimama na msimamo huu bado?
 
Back
Top Bottom