Wakazi wa kijiji cha Bagilo kata ya Kinole halmashauri ya wilaya ya Morogoro wakiwamwangalia simba aliyeuawa na askari wa wanyamapori wa halmashauri hiyo baada ya simba huyo kukamata na kuua mbuzi 47 katika vijiji vitano tofauti vya tarafa ya Mkuyuni mkoani hapa jana. PICHA NA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM Mmiliki wa blog Juma Mtandaa akimkagua Simba huyo mara baada ya kufikishwaa katika ofisi za Maliasi mkoa wa Morogoro muda mfupi kabla ya kuchunwa ngozi kwa mnyama huyo. Afisa wanyamapori halmashauri ya wilaya ya Morogoro Iddi Ndabagenga akimkagua simba huyo.
Askari wa wanyamapori wa halmashauri ya wilaya ya Morogoro Abdallah Mayingi kushoto na Jontas Sume kulia ndiyo waliohusika katika zoezi la kumua simba huyo.
Hapa zoezi la kumchuna ngozi likiufanyika katika ofisi za maliasili Morogoro.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.