Simba bado inacheza kitoto sana

Simba bado inacheza kitoto sana

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,748
Reaction score
28,139
I salute you kinsmen

Kiukweli sisi mashabiki wa Simba tunaumia sana na team yetu.

Licha ya fadlu kutukimbia bado tunazidi kuumia na performance yetu mbovu kwa hawa matapeli wawili Morocco na mwenzie matola.

Kiufupi kadri upepo unavyovuma ndio nyeti za ndege zinaonekana haina haja ya kuficha tena

Fountain gate sote tunajua hali yao, wakifungwa kabla hata ya kuingia uwanjanj ,

Ila simba yangu imecheza papatu papatu sakalanya magimbo na kushinda tatu tu!

Wakati nilitegemea tushinde hata 6! Maana ni sawa na kucheza na kilema wa mguu! Yaani simba mmetutia aibu sana.

Huyo maema mbona tumetapeliwa mapema sana? Mrudisheni kwao huko.

Hata huyu sowah bado sana kiwango ameonyesha kidogo sana hairidhishi.

Mwisho kabisa naona wqzi jumapili tukienda kutolewa na wabotswana wale.

Kwa mtindo huu ni bora kushabikia mlandege ya zenji
 
Ila jezi mnanunua sana tu ,mlitakiwa muwafunze mabosi wenu kwa kususia jezzy

USSR
 
Simba tutashika nafasi ya sita msimu huu naumia sana
Huwa nafurahi sana gongowazi wanapoweweseka.Na mtindo wao wa kujifanya wanasimba.Huu mtindo unadhihirisha kwamba hawajiamini.Ni nadra sana wapenzi wa Simba kuanzisha mada inayowahusu gongowazi lakini wao kila mara wanafanya hivyo.
Kwenye wiki yao waliitaja Simba mara nyingi zaidi kuliko hata timu yao.
 
Mimi nj mwanasimba kindakindaki nadhani I'd zinafanana tu
 
Back
Top Bottom