Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 5,868
- 10,352
ukamfariji mwenzakoSimba hawezi kufuzu
Hupigwi ban mkuu
ukamfariji mwenzakoSimba hawezi kufuzu
Hupigwi ban mkuu
Tafuta basi kama mwingine tuwaiteWamemaliza😂😂😂nilikuwa napitia uzi moya baada ya mwingine nikashangaa mbona huyu kaachwa
taratibu lazima wamalizwe wote ahadi ni deniTafuta basi kama mwingine tuwaite
Aombaye hupewaMods kwa kulamba ban wako makini,ukiahidi tu imooo
ni kweli mkuuAombaye hupewa
wafanye chapu mara ngap wakati mtu kashakula banModerator fanyeni chap hapa
UmeufukuaAu basi
😂😂😂nimeona tu mbona mtu kaomba kupigwa ban halafu anaangaliwa imebidi niwakumbusheUmeufukua
Paw mbona huyu bado yupo?Simba hawezi kufuzu
Hupigwi ban mkuu
WamekunyooshaHamna sina umuhimu wowote .
Mpe umkate
Taifa hili halijawahi kuwa na kiongozi alie acha vijana wapumbavu mno akiitwa Nyelele. Huenda unamsema Nyerere. Na hawa unaosema vijana wapumbavu mno leo aliwaacha hawajazaliwa. Pia hakuwa na muda wa kufundisha upumbavu vichwani mwa watu.Mwalimu Nyelele ameacha Taifa la Ajabu mno.
Vijana hawa ni Wapumbavu mno, Tofauti kabisa na Wale mwaalimu aliowataka katika taifa.
Nyanya kabisa.