mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,547
- 4,013
Omba tena na hii ya kesho upigwe ban mkuu Maana sikio la kufa halisikii dawa.Wadau nimeshapigwa ban na nikafunguliwa naomba niweke kumbukumbu sawa maana nisije nikapigwa tena wakijua ni ombi jipya.