shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,509
- 2,997
Kiukweli kwa simba hii ikifuzu mimi nipigwe ban ya wiki moja .mimi shuka chini nikotayari. Kwa ban hiyo
Nipo hapa kusubiria ahadi yako. Simba ikifuzu uje Lushoto kutalii wiki nzimaBasi sawa, wacha tuone
Kwa nini usiahidi kumtoa demu wako kwa Gudume?simba hii ikifuzu mimi nipigwe ban ya wiki moja .mimi shuka chini nikotayari.
Wee em sema kweli?!Nipo hapa kusubiria ahadi yako. Simba ikifuzu uje Lushoto kutalii wiki nzima
Gharama zote juu yangu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa nini usiahidi kumtoa demu wako kwa Gudume?
Hilo la ban ya wiki mwachie yule dogo asiye na demu yeyote yaani mwachie Labani og 😂
Kwani wewe una umuhimu gani kiasi kwamba ukikosekana jukwaani iwe shida?Kiukweli kwa simba hii ikifuzu mimi nipigwe ban ya wiki moja .mimi shuka chini nikotayari. Kwa ban hiyo
Hamna sina umuhimu wowote .Kwani wewe una umuhimu gani kiasi kwamba ukikosekana jukwaani iwe shida?
Naona jamaa amekula ban😂Simba hawezi kufuzu
Hupigwi ban mkuu
Wamemaliza😂😂😂nilikuwa napitia uzi moya baada ya mwingine nikashangaa mbona huyu kaachwaModerator fanyeni chap hapa