Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 22,195
- 22,825
Kwa nini Djuma Shaban hapangwi?Kwanini hapangwi?
Kwa nini Djuma Shaban hapangwi?Kwanini hapangwi?
Mkuu mbona Simba mna Shafii na Jemedar?Hii ni kwa mujibu wa Ricardo Momo shabiki lia lia wa Yanga anayeitumia Wasafi FM kuichafua Simba
Hapa kwenye kulipwa mm nakataa phiri hadai kitu pale lunyasi,,, huyu ana damu ya kunguni tu na kocha lkn bonge la mchezaji ,,Wakuu
Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake simba ..
Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.!
Ilianza kwa beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake
Sasa phiri kudai hela zake imekuwa nongwa?
Ndo kuwekwa benchi mpaka na papaa bocco?
Na huyu kipa Abel inabidi ajiangalie sana maana nimeskia kaletwa kwa mkataba kauli tu ..
Yaani kaahidiwa milipni 40 na hajapewa hata senti!
Huu uonevu na utapeli hii klabu imeshindikana kwa kweli..
Yale ya kina okwa kumbe ni ukweli kabisa ..
Sio ajabu msimu huu wakashika nafasi ya 9 ..
Yetu macho.
Ukinijia kihuni nakujibu kihuni heshima ni kuheshimianaSasa hivi sioni unatukana tena mkuu umeokoka?
Hao wote ni kama Wagner groupMkuu mbona Simba mna Shafii na Jemedar?
Takataka!!Ila aliposema kuhusu ile story ya ngoma kuibiwa airport mlikubali? Bila kujali ukweli au uongo?
Amesema ukweli hapo anadai au hadai?
NakaziaSimba ni kikundi cha wahuni
Najuaga ndiyo Kiswahili gani Wewe Simbilizi na Ndorobo wa Jamvi?mi najuaga ni Simba yule
PopomaNajuaga ndiyo Kiswahili gani Wewe Simbilizi na Ndorobo wa Jamvi?
Hoja nyepesi sana hii ya kuisema Simba.Wakuu
Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba.
Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.!
Ilianza kwa Beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake. Sasa Phiri kudai hela zake imekuwa nongwa? Ndo kuwekwa benchi mpaka na papaa bocco?
Na huyu kipa Abel inabidi ajiangalie sana maana nimesikia kaletwa kwa mkataba kauli tu. Yaani kaahidiwa milioni 40 na hajapewa hata senti! Huu uonevu na utapeli hii klabu imeshindikana kwa kweli..
Yale ya kina Okwa kumbe ni ukweli kabisa .. Sio ajabu msimu huu wakashika nafasi ya 9.
Yetu macho.
Rudi shule mtoto unajua Wapi vitu vizito wewe?Hoja nyepesi sana hii ya kuisema Simba.
Kuruta naona umeshamaliza kurukishwa kichura chura .Upuuzi wenu huwa hauna cha maana, mnapenda kudandia vijihabari vya kike kike na kimajungu. Habari hii ilifaa iletwe na mwanamke, ila sishangai sana kuna madume-jike mengi sana siku hizi.
Kabla ya hapo alipokuwa anapangwa nani alikuwa anakaa benchi?mnaolalamika kuwa phiri apangwi mnataka nani akae benchi?acheze yeye
Wasted spermTakataka!!
Safi sana mwanzo haukuwa hivi anyway nimekutukana?Ukinijia kihuni nakujibu kihuni heshima ni kuheshimiana
Sikiliza wajuzi tunakupasha utakuja kusikia baadayeHapa kwenye kulipwa mm nakataa phiri hadai kitu pale lunyasi,,, huyu ana damu ya kunguni tu na kocha lkn bonge la mchezaji ,,
Djuma ni mchezaji wa Wapi huyo?Kwa nini Djuma Shaban hapangwi?