Simba acheni uhuni mlipeni Phiri pesa yake

Wakuu
Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake simba ..

Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.!

Ilianza kwa beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake
Sasa phiri kudai hela zake imekuwa nongwa?

Ndo kuwekwa benchi mpaka na papaa bocco?

Na huyu kipa Abel inabidi ajiangalie sana maana nimeskia kaletwa kwa mkataba kauli tu ..
Yaani kaahidiwa milipni 40 na hajapewa hata senti!

Huu uonevu na utapeli hii klabu imeshindikana kwa kweli..

Yale ya kina okwa kumbe ni ukweli kabisa ..
Sio ajabu msimu huu wakashika nafasi ya 9 ..

Yetu macho.
Hapa kwenye kulipwa mm nakataa phiri hadai kitu pale lunyasi,,, huyu ana damu ya kunguni tu na kocha lkn bonge la mchezaji ,,
 
Wakuu

Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba.

Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.!

Ilianza kwa Beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake. Sasa Phiri kudai hela zake imekuwa nongwa? Ndo kuwekwa benchi mpaka na papaa bocco?

Na huyu kipa Abel inabidi ajiangalie sana maana nimesikia kaletwa kwa mkataba kauli tu. Yaani kaahidiwa milioni 40 na hajapewa hata senti! Huu uonevu na utapeli hii klabu imeshindikana kwa kweli..

Yale ya kina Okwa kumbe ni ukweli kabisa .. Sio ajabu msimu huu wakashika nafasi ya 9.

Yetu macho.
Hoja nyepesi sana hii ya kuisema Simba.
 
Upuuzi wenu huwa hauna cha maana, mnapenda kudandia vijihabari vya kike kike na kimajungu. Habari hii ilifaa iletwe na mwanamke, ila sishangai sana kuna madume-jike mengi sana siku hizi.
Kuruta naona umeshamaliza kurukishwa kichura chura .
Unless phiri angekuwa mwanamke au unadhani ni soka la wanawake hili?

Acha kutuletea ukuruta wako hapa dogo
 
Back
Top Bottom