Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,303
- 22,787
Wakuu
Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba.
Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.!
Ilianza kwa Beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake. Sasa Phiri kudai hela zake imekuwa nongwa? Ndo kuwekwa benchi mpaka na papaa bocco?
Na huyu kipa Abel inabidi ajiangalie sana maana nimesikia kaletwa kwa mkataba kauli tu. Yaani kaahidiwa milioni 40 na hajapewa hata senti! Huu uonevu na utapeli hii klabu imeshindikana kwa kweli..
Yale ya kina Okwa kumbe ni ukweli kabisa .. Sio ajabu msimu huu wakashika nafasi ya 9.
Yetu macho.