Najuta kusikitika kabla sijaziona picha zenyewe!:lol:
Mr Rocky mapenzi kitu cha ajabu mno
TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE
Marehemu hawakujinyonga,bali walinyongwa
source😛ost mortem report
Picha zinasikitishaView attachment 227885
Wamakonde sina utani nao na wachina ndio wawekezaji wetu hapa ngoja tu kimyakimyamshana jnr Kama kuna wachina Jirani na hapo Waite waje kuomboleza vifo vya hao wapenzi!
mshana jr isijeikawa maandalizi ya mishikaki, mwenzako kakamatwa juzi!
mshana jr isijeikawa maandalizi ya mishikaki, mwenzako kakamatwa juzi!
mshana jnr Kama kuna wachina Jirani na hapo Waite waje kuomboleza vifo vya hao wapenzi!