SIMANZI: Ajinyonga baada ya kusalitiwa na mpenzi wake, aacha barua yenye ujumbe mzito

Mbona nimeona kama tarime na musoma, Watu wa mara tumeanza lini tena kuwa kama wa iringa

Inawezekana ni wa kuja ila haya yanatokea kuna kijana moja wa miaka kati ya 25-29 alijinyonga baada ya mzee wake kumnyima ng'ombe wa kutoa mahari, mwingine alijipiga risasi mdomoni sema hakufa kwa ajili ya penzi la mtoto wa askari baada ya baba yake kukataa asimuoe huyo binti wa askar. Haya matukio yote yalitokea pale UTEGI MADUKANI (RORYA) so haya mambo yapo popote ni matokeo ya msongo wa mawazo yanayonyima akili nafasi ya kuona matumaini yajayo juu ya maisha.
 
Huyo mwanamke jina lake ni mariam hili la rose sijajua kama ni jina lake la biashara au alibadili jina,ngoja nifuatilie
Kama ni mariam basi ni kawaida tu sema jamaa hakujua tabia za watu wenye majina hayo.....
 
Sio mahali na muda sahihi wa kumwanika mtu kama huyo, chochote kibaya kinaweza kumkuta. Embu ndugu na jamaa wa marehemu watakuwa katika hali gani sasa hivi?
Hapo kwa kumwanika inakuwa funzo kwa vijana wengine wanaopenda penda bila kufikiri ila point yako nimeielewa
 
Kijana mmoja kwa Jina la Fredrick Richard amefikia hatua ya kujinyonga baada ya mpenzi wake (Rose) kumsaliti na kugawa tunda kwa rafiki yake kwa jina Robert. Kabla ya kufikia maamuzi ya kujitoa uhai, kijana huyo aliandika barua ya simanzi kusikitishwa kwa kitendo alichofanyiwa na wawili hao.

View attachment 462687
View attachment 462688

06623bf58e3cb78ac6434f0efbe5fb06.jpg


NOTE: Sitaki ushahidi, nimeiweka hapa baada ya kujiridhisha kutoka kwa rafiki zake kuwa ni kweli amejinyonga kisa mapenzi.
----

MOYO SUKUMA DAMU, SI VINGINE..

mra,mra,mra, kumbe na ubishi wote nao huwa wanajinyonga!!!!
 
ROZI.jpg

Rose Ehee rozi kwanini umefanya hivyo? Ningekuwa na pesa ningenunua ndege Twende Kuishi Juu karibu na Mwezi Kwa sababu watu wasituudhi.

 
HIYO laana aliyo waachia ni kubwa sana. ..duh! Balaa. ..RIP
 
Back
Top Bottom