SIMANZI: Ajinyonga baada ya kusalitiwa na mpenzi wake, aacha barua yenye ujumbe mzito

Dah pole kwa familia yake, haya mambo yanatokea wadada kuweni na huruma mtateseka na roho za watoto wa watu..
Ukifunga hy ndoa njoo na huyo mwanaume ntawanunulia soda
Huu ni bonge ya mkosi
 
sasa hapo Demu ali mwacha mchizi au aligawa tu tuda na kuanzisha mahusiano Mengi
 
Don't judge,love is powerful..I personally can't picture myself commiting suicide cuz ya love,ila cuz sjajikuta kwenye situation yake then...may his soul rest in peace.To youth out there let's learn to love ourselves first and to move on..life has a lot to offer us..a lot.
 
Hii ni hasara kubwa sana kwa mzazi, pesa aliyotumia kukupeleka shule angejua angetoa ofa bar.
 
Back
Top Bottom