Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

kama kuna kitu kimeanyika na ole sendeka kielezee hicho. na sio hisia zako.kama hakuna tafuta jukwaa jingine ueleze jinsi usuivyompenda ole millya
 

Umetumwa au umejituma mwenyewe? Mbona umejianika sana jinsi ulivyo? Umekuwa msemaji wa Ole Sendeka?
 
Pole sana mkuu...kawaida mvua ikianza kunyesha kimbia ndani jikinde acha kushindana nayo itakulowanisha....Poleni sana MAGAMBA..............
 
Sasa hapa nani ana onekana ana mdomo? Kazi mnayo mwaka huu mkimaliza kwa ollemillya mtaahamia kwa mwingine, kazi mnayo mwaka huu!

Hakuna kulala mpaka kieleweke!

 
Nina wasiwasi na elimu pamoja na upeo wa uelewa mwanzisha thread kuhusu ushindani na vita vya siasa. Tujihadhari sana na watu kama hawa
 

unazalilika kwa garama ndogo mkuu pole sana, ebu jaribu kuwaonea huruma wamasai wenzako wale mifugo yao yote imekufa kwajili ya ukame wameamua kua wasusi,walinzi na wauza mitishamba. Sababu yote hiyo ni ccm unayoitetea apa jamvini
 
SASA NIMEANZA KUAMINI NILIYOKUWA NIKIYASOMA HUMU! Tangu kumekucha leo humu jamvini kumekuwa na nyuzi nyingi zikiwasakama makamanda, mara Mdee hoi kawe ana tuhuma za rushwa, mara Vincent Nyerere amenunuliwa na EL, huyu naye kaja na MILLYA dah!

Ni wazi kuwa huu ni mkakati ulioandaliwa na CCM ili kujaribu kudhoofisha nguvu ya CHADEMA, ili hatimaye waendelee kuiangamiza kabisa Tanzania yetu.
Propaganda za udini na ukabila zimeshindwa kutimiza azma hiyo hivyo wameona waje na mbinu hii ya kumbomoa mmoja mmoja .

Ndugu zangu nyie mnaotumiwa kutekeleza tambueni kuwa kwa kufanya hivyo mnawahujumu ndugu zenu huko vijijini na hata huko mijini wanaoishi kwa shida taabu, mnavihujumu vizazi vyenu kwa kuwaachia taifa lisilo na rasilimali na huenda mtakuwa mmewaacha chini ya wakoloni na wao kuwa manamba na watumwa kwa jinsi serikali ya CCM inavyoharibu ,kugawa na kuwapatia wageni kila aina ya utajiri wa nchi hii (kiholela)!
Mnawtukana hata wazazi wenu waliotumia kila senti ndogo ya familia kuhakikiasha mnakwenda shule, mpate elimu,muelimike, lakini hamtaki kuzitumia elimu zenu kwa manufaa ya taifa lenu badala yake mnakubali kutumiwa ili kuliangamiza taifa !

Oneni aibu kwa vitendo hivi, KUKUBALI KUTUMIWA NA CCM KUDHOOFISHA HARAKATI ZA KUIKOMBOA NCHI YETU KUTOKA KWA MKOLONI MWEUSI(CCM) NI USALITI MKUBWA .

Hivi nyie hamzioni shida na matatizo tuliyonayo kama taifa? elimu mbovu,huduma za afya duni, umasikini unazidi kuongezeka,rushwa na ufisadi, uporaji wa rasilimali, kukithiri kwa mauaji na kuteswa kwa raia, chuki za kidini zilizo pandikizwa na ccm, migogoro ya ardhi kila kona, HIVI HAYA YOTE HAMYAONI!

WATU NYIE MNASTAHILI KUVISHWA MATAIRI NA KUCHOMWA MOTO KABISA KWA SABABU MNACHELEWESHA HARAKATI ZA UKOMBOZI.
 
hivi kumbe kuna wamasai vilaza na cheap kiasi hichi......sikujua aisee..naamini mleta mada paka amefikia kuanzisha thread hapa ana elimu japo ya form iv,tafadhari acha kutumika kwa mambo yasiyo na faida kwa jamii yako dogo...tumia elimu uliyonayo kuwafundisha wenzako elimu ya uraia ili wafanye maamuzi sahii tuone kama unachokisema hapa ni sahii...
 
Identical to materials contained in a septic tank.
 
unazalilika kwa garama ndogo mkuu pole sana, ebu jaribu kuwaonea huruma wamasai wenzako wale mifugo yao yote imekufa kwajili ya ukame wameamua kua wasusi,walinzi na wauza mitishamba. Sababu yote hiyo ni ccm unayoitetea apa jamvini

Wewe mjinga kweli CCM inaletaje mvua? CCM imeuje mifugo, CCM ingewazuiyaje watu kwenda kufanya biashara wanazotaka? Mbona Millya amekimbia masaini ameenda kula kula bata town kufanya siasa za Chadomo ? Mbona Oleleshwa kinda huyu wa siasa ameacha ng'ombe ya Babayake yanakufa?
 
Huna mantiki nzuri kwa cmanjiro, ila wewe ni shabiki wa sendeka ili kupewa pesa tu.
 
In the land of the blind the man, with One is King. When the TANU (CCM )came into power we were led by highly qualified academics now we being led by CCM members who only have greed and self interest at heart and not concerned about the country or it's people. Too much MP's with no or little education' like Mr. Alcohol. We will become a vegetable republic
 
Sasa Nampongeza Milya. Matunda ya kazi anayofanya yanaanza kuonekana.. Milya usiwahurumie. Kazia hapohapo.
 

Hivi nyinyi mnafikiri Kila asiyekubaliana na mambo ya kihuni ya Chadema ni kilaza we ndio kilaza wa mwisho, Mimi nilileta taarifa humu basi.
 
Join Date : 7th December 2012
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 

ukweli nimekupa hilo unalo la kulalia utatoka sana povu leo,. Yani wamasai ni manamba wetu watarajiwa make hamnaga akili hata kidogo
 
Huyu jamaa kafunga mwaka JF na thread iliyojaaa pumba tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…