Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

Ivi kujiunga na chama cha siasa ni kupotoshwa? Elimu ni muhimu sana we gamba.MTAISOMA NAMBA YA MILLYA KWA NYUMA.
 
Join Date : 8th December 2012
Posts : 11
Rep Power : 303
Likes Received0
Likes Given0

ndio umejiunga JF kwa kazi hii? you are in a wrong place wearing wrong shoes, pole sana!
 

Wewe ni nani hata utishie maisha ya watu?samahi ndugu hivi umeongea kwa mujibu wa katiba ya JMT au ya CCM? Mod kwa nini watu kama hawa msiwapige ban?
 
Ivi kujiunga na chama cha siasa ni kupotoshwa? Elimu ni muhimu sana we gamba.MTAISOMA NAMBA YA MILLYA KWA NYUMA.

MILLYA GO MILLYA GO, USIWASIKILIZE MAGAMBA KWANI AO NI MBWA KACHOKA KASORO TU MKIA, WAMEIONA NA KUITAMBUA NGUVU YAKO NDO WANAJARIB KUKUKATISHA TAMAA, SIMANJIRO NI JIMBO LAKO ILO 2015 NDUGU YETU, WANASIMANJIRO WAMEKUELEWA, KAMWE USIRUD NYUMA TUNAKUITAJ BUNGENI KM MTETEZi WETU WANYONGE
 

Ungekuwa na kazi nzuri ungekuwa na akili. Au kwako kujikomba ndio kazi nzuri? Ole Sendeka amefanya yapi mazuri Simanjiro? Kuzalisha watoto wa shule na kuwatelekeza?
 
Wewe ni nani hata utishie maisha ya watu?samahi ndugu hivi umeongea kwa mujibu wa katiba ya JMT au ya CCM? Mod kwa nini watu kama hawa msiwapige ban?

NA ANAONGEA KWA NIABA YA NANI? AU II NDO MIKAKATI YA JANGILI KINANA? MAANA CCM WAMEPIGA MIKUTANO MITANO YOTE WAKAZOMEWA NA WANACHAMA WAO WAMEIBUKA SASA NA STYLE YA KIZAMANI YA VITISHo
 
Ni kweli CCM imefikia kiwango cha chini kiasi hiki au ni watu wachache tu wasiojua siasa hasa ni nini?
 

Kwa kifo chake kinakusaidia nini wewe zuzu. Unaita watu majina ya Chodomo kuonyesha chuki. Kachukue mshiko kwa Sendeka kama siyo Lumumba ngoma yenu ya kashfa mtaicheza wenyewe.
 
inawezekana ikawa ndo kiwanda cha mwisho cha kufunga mwaka?
 
Tumeanzish a vita simanjiro,mimi nikaogopa nikafikiri wanajitenga na jamuhuri ya Tz kumbe bange za mla pilau za kampeni?pole gamba dowas imewashinda millya sindio mtakesha.
 

Inaonekana siku hizi usipokuwa CCM na kusapoti upinzani basi una 'njaa kali'!
 

Ulieandika hii thread hapa sio mahala pake ingekuwa vizuri zaidi ukawaface moja kwa moja maana hapa unatuma watu wakamweleze Millya na Oleleshwa sisi tunawajulia wapi??? wewe unaowafahamu basi ndio ukawaeleze hapa tunahitaji kujua maendeleo ya nchi hii yanavyokwenda na sio kutuma salamu....
 
Kwa njisi unavyoongea unaonekana kuwa umelewa kiroba na bhangi chakari. Wewe ni mtu mdogo sana na wala humuwezi milya. Kinachokusumbua ni bhangi na gongo uliyokunywa....
 
Humu jamvini kumevamiwa na wanapropaganda wa Nape!..kuna hoja zinajengwa kwa nia ya kuwapa nafasi ya kupumua hawa jamaa wenye magamba. Naamini hii ni sehemu ya mkakati wao wa kuichafua CDM, lakini wananchi wameshakata tamaa na uongozi wa ccm na serikali yake. Sioni ni kwa namna gani wanasimanjiro wanavyoweza kukubaliana na propaganda hizi. Sikio la kufa halisikii dawa
 
psychiatric case
 
Nyie ndo mnaweza kummaliza Millya, hata kiswahili bado hamjui! Nendeni mkajipange Millya kawashika pabaya!

Hapo penye rangi nyekundu natofautiana na wewe.Kutokujua kwao kiswahili ndio inaweza kuwa nafasi pekeee ya kummaliza kwani wanaweza wakawadanganya watu kuwa wale CDM ni waswahili na Milya kapotea njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…