Inawezekana ukawa unasema kweli
Lakini kuna mijamaa mingine ni noma
Ki msingi wanaume ndio tumeisababisha hii dhana kwa akina dada japokuwa nao kuishi kimazoea ni makosa
Unakuta mdada anasimamiswa na lijamaa limevaa kata kei halafu lina mirasta inanuka na minguo haijapigwa pasi ukiongeza na viatu amevaa ova saizi ukijumlisha na ile miondoko ya kibange bange,mdada atasimama kweli?
Eti
King'asti ,
charminglady ,
Karucee ,
Khantwe ,
Evelyn Salt ,
ladyfurahia DEMBA ,
miss neddy Dinazarde ,
Kaunga ,
gfsonwin ,
AshaDii ,
KOKUTONA ,
Nyamayao kyanaKyoMuhaya na wengine hebu njooni mniambie kama mkisimamishwa na jamaa kama huyu mtasimama!