Simama wewe sikutongozi

Jamani wanaume tunakoma mbona wanaume wakisimamishwa na kina dada wanasimama???????????
 
ila kwan namba ikiingia kwa simu lazima uandike kwanza pemben kwa pen? kama hujajua kutumia simu uwe unanunua pen. ni wewe mwenyewe, acha kumsingizia jamaa
 

uzinzi tu hakuna cha pen hapo, kwan simu haisave?
 
Unamsimamisha kumuazima pen? Nunua yako!!!!! Mmezidi kijana uko smart, mkanda nje lakini pen ya Tshs 100 huna!!! Safi sana. Mmezidi!! Huyo hakuwa maharage ya Mbeya maji mara moja!!!! Huyo mliyemsimamisha akakataa ni maharage mekundu Acapulco. Mpe pole rafiki yako, atakuja kusimamisha na majini huko barabarani.
 
Inaelekea alikuwa na pesa ya kutosha kwenye pochi ndio maana hakuona hasara kutoa wekundu wawili wa msimbazi
wakati anakupa hela ungemtandika mkofi wa usoni...usepe zako!

duh hela ningemrudishia ila namba yake ningechukua na ningemtafuta!!!!
Asingeniletea mapozi kabla nilipomwita ningemtafuta huwezi jua pengine hata papuchi ningepewa, tatizo alileta mapozi ndio maana na mimi nikampa somo(bila ya yeye kujua) usione umuhimu wa mtu hadi ukiwa na matatizo au hadi atakapokutatulia/atakapokusaidia tatizo lako

Halafu cha ajabu wakati namwita hakutaka hata kugeuka kisa iliyoita sauti ya kiume, niliposema umeangusha pochi ndio akarukwa na roho na kuja nilipo.

Kumbe alisikia wakati naita dada, dada. Tatizo akili yake ilimpa naita ili nimtongoze
 
Wanawake akili zao ziko chini kwenye hilo lishimo lao siyo kichwani.

Ndo maana hata picha wakipiga wanaelekeza huko chini.

In short mwanamke ana akili ya kitandani tu.

KAGONGWA KAHAMA SHINYANGA

Samahani,wanawake hawa unaowaongelea hapa ni pamoja na mama yako,dada zako,bibi zako na shangazi zako?
 
mjini hapa wewe..
nikisimama alafu ghafla nikaanza kukufuata itakuwaje?

hiyo namba angekariri au aombe atumiwe kwenye sms .. Ovaaaa
 
Jamani wanaume tunakoma mbona wanaume wakisimamishwa na kina dada wanasimama???????????
Na ndio kinachotuponza huruma zetu hadi inafikia kuibiwa magari kwa majambazi kuwatumia chambo wanawake(ambao mwanamke na majambazi wanakuwa wamoja)
 
Kwani kumuazimisha kalamu mtu ni lazima? Na kusimamishwa lazima usimame? Uwii, tena mie mtu akinisimamisha napaa kabisa.
 

Wakifikisha miaka 30, wanaanza kubembeleza kwenye mitandao na wengine wanatinga hadi kwenye maombi kutafuta wa kumsemesha hatimaye ndoa!
 

Nahisi hata akiniita sitasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…