Simama wewe sikutongozi

Mkuu tuwe na heshima japo kidogo kwa mama zetu.

Mwanaume wa kweli hawezi tukana alipotokea na panapompa utamu.

Adabu haiuzwi dukani.

Ahsanta kwa kunielewa.

Nimekuelewa mkuu, hiyo kidogo nafikiri ninayo

Ila sijafikiria kwamba heshima na adabu kwa mama iko kwenye K yake.

Ila mwanamke ni mwanamke kwa sababu ana uke . Kuwa mama haimfanyi kutokuwa mwanamke.
 
Mkuu tuwe na heshima japo kidogo kwa mama zetu.

Mwanaume wa kweli hawezi tukana alipotokea na panapompa utamu.

Adabu haiuzwi dukani.

Ahsanta kwa kunielewa.[/QUOTE]

Kama tu amekuelewa.
 
hii thread ni nzur sana wadada wengi sana ukimsimamisha hata umwambie dada samahan naomba kuuliza ohhh mimwenyewe mgen wakati yeyr sasa awemuhitaji wa jambo ataumwambie inhiza dudu mwenyewe anaingiza sianakuwa nashida
 

Amuazime peni kwani yeye Diamond?
 
Nyodo tu,sijui hata jf ingegunduliwa na mademu wangekuwa wanatupangia muda wa ku-login lol!
 
sasa kwa nini huwa mnaenda kwa waganga (baadhi yenu) pale mnapokuwa hamsimamiswhi njiani kabisa?
 
Nimekuelewa mkuu, hiyo kidogo nafikiri ninayo

Ila sijafikiria kwamba heshima na adabu kwa mama iko kwenye K yake.

Ila mwanamke ni mwanamke kwa sababu ana uke . Kuwa mama haimfanyi kutokuwa mwanamke.

Kusema akili ya mwanamke iko kwenye "lishimo" na tena inafikiria kitandani tu..... hauoni nadhiri ikikusuta umemdhalilisha mama aliyekuzaa, kukupenda, kukulea na kukutunza mpaka hapo ulipofikia?

Naamini utarudisha moyo nyuma na kufanya toba. İmeandikwa tuwaheshimu wazazi wetu.....

Hata hivyo ni ushauri tu.

Ahsanta kwa kuendelea kunielewa.
 
Mi nadhani wanafanya hivyo kwa kuwa wamezoea wanaume wakiwasimamisha ni kuwatongoza. Kuna siku tulienda field ni kawa na wageni toka nchi zingine na bahati mbaya driver alikuwa si mtz tukapotea njia driver akaweka gari pembeni kidogo akashusha kioo akamuita dada mpita njia ili tumuulize njia huyo dada alikataa hata kugeuka ikabidi tusubiri mwanaume ndio tumuulize wake wageni wakaniambia inaonekana wanaume watz wanapenda kutongoza mwanamke hata kama hamjui na kamuona barabarani ndio maana wakina dada wanabehave hivyo ili kujihami na usumbufu! Ila nilipoenda nchi zao wala hakuna shida niliona driver anasimamisha gari na kuuliza mdada na anasimama kukusikiliza tena anajibu kwa kujiamini
 
Inawezekana ukawa unasema kweli

Lakini kuna mijamaa mingine ni noma

Ki msingi wanaume ndio tumeisababisha hii dhana kwa akina dada japokuwa nao kuishi kimazoea ni makosa

Unakuta mdada anasimamiswa na lijamaa limevaa kata kei halafu lina mirasta inanuka na minguo haijapigwa pasi ukiongeza na viatu amevaa ova saizi ukijumlisha na ile miondoko ya kibange bange,mdada atasimama kweli?

Eti King'asti , charminglady , Karucee , Khantwe , Evelyn Salt , ladyfurahia DEMBA , miss neddy Dinazarde , Kaunga , gfsonwin , AshaDii , KOKUTONA , Nyamayao kyanaKyoMuhaya na wengine hebu njooni mniambie kama mkisimamishwa na jamaa kama huyu mtasimama!
 
Last edited by a moderator:
Halafu ikitokea ameibiwa ndo huyo huja haraka haraka pumzi juu, kama wewe jeuri si ulikua ufanye ujeuri usiibiwe.
 

wakati anakupa hela ungemtandika mkofi wa usoni...usepe zako!
 

thubutuuu!!! natoka nduki bila kugeuka nyuma...
 
huwa mnaanzia mbali then mnaomba namba ya simu.
 

duh hela ningemrudishia ila namba yake ningechukua na ningemtafuta!!!!
 
Wanawake akili zao ziko chini kwenye hilo lishimo lao siyo kichwani.

Ndo maana hata picha wakipiga wanaelekeza huko chini.

In short mwanamke ana akili ya kitandani tu.

KAGONGWA KAHAMA SHINYANGA

Duh!kijana,nahisi umeshashndkana toka zamani.nakusikitikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…