Siloam Ministry International Mbezi Beach

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Mungu atusaidie nina ndugu wengi wanaabudu uko, ingawa kuna usiri mwingi ila walikuwa wakimfanya kama Mungu wao, maana badala ya kuomba kwa damu ya Yesu useme unaomba kwa sijui nabii haki sawa naona ni mkanganyiko. Ukurusa wa mwisho wa Biblia ule wa Ufunuo unahitimisha kuwa atayelibadili neno hili mapigo yatampata huwa wanaunyofoa.... ila ingekuwa vizuri waumini wake wakaelezea kiundani hii imani tusijekuwa tunasikia isivyo.
 

hapo kazi ipo na huo waumini hata uwaeleze vipi hawatakuelewa utadhani huwa wanapumbazwa
Mungu atusaidie
 
nimecheka kweli hivi hizi ni akili au matope
 
very cheap mind set better to IPR
 
hapo kazi ipo na huo waumini hata uwaeleze vipi hawatakuelewa utadhani huwa wanapumbazwa
Mungu atusaidie
Unajua watu huwa wakiwa desperate wanalishwa maneno bila kujijua unakiri na kuingia maagano.... kumbuka Ukristo pia kuna ukiri wa Imani na rejea Rumi 10:9 kwakuwa ukimkiri Yesu kwa kinywa chako kuwa ni Bwana na kuamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua ktk wafu utaokoka... sasa kama unatabia ya kukiri imani au kuamini ktk binadamu badala ya Yesu ujue unaingia imani mpya na usishangae kwa mengine yanayokutokea. Ila tuache wenye imani hii wengi humu pia watakua kuweka wazi hili
 

Heee
Hii post vp tena hapa...
 
hata Yesu mwenyewe alipojaribiwa nyikani na shetani akamwambia kama wewe ni mwana wa Mungu jirushe Mungu atakuandalia malaika wakudake hhaahahaahh Yesu zilimchaji mara mbia akaona du nikijirusha ikabadilika itakuawa soo akapigilia msumari usimjaribu Bwana Mungu wako sasa hawa hawajifunzi unafikiri Yesu alishindwa kujirusha ili aoneshe nguvu za babaye aliyemtuma???? Aliona mambo yakibadilia ni aibuuuu!!!
 
kabisaa Biblia inasema siku za mwisho manabii wengi wauongo watatokea na watatumia jina la yesu kufanya miujiza, shika sana imani yako usiyumbishwe huku mara kule.
 

Ni kweli si mara yao ya Kwanza, walifanya hivyo kule Kyela mkoani Mbeya, wakafanikiwa kufufua maiti wanne, tena kule Machame wakainua maiti moja, na kuchinja wachawi vigagula wawili (in de spiritual realm) hakuna waandishi wala Media yoyote iliyobebea bango hilo.
kwa hiyo wamezoea waacheni jamani
 
Jaman me ninasali siloam pia bt wa2 weng wanaongea vitu wasivyovijua bt mwenye swal aniulize na ii sio dini ni kanisa jaman mtofautshe din znazofahamika ni wakristo na waislam kwa tanzania siloam ni kanisa wala c dini wala dheheb
 

Unaweza weka hati zao za kifo (death certificates) na picha za hao waliofufuka, namba zao za simu,mahali wanapoishi,namba za nyumba zao na ndugu wa karibu na wakazi wa karibu kama majirani,na watu ambao si waumini wa kanisa lenu n.k wanaoweza thibitisha kuwa kweli hao watu walikuwa wamefariki na mkawafufua ?

Maana kufa si siri ni kitu wazi kwa wengi na hata kufufuka wengi waweza sema ndiyo huyu mtu alikuwa kafa na sasa kafufuka.Tupe hizo taarifa za hao wafu wafufuka walipo tutafuatilia wenyewe kuhakiki.
 
Duu.... inaonekana huko kyela hamna wanaokufa!
 
Jaman me ninasali siloam pia bt wa2 weng wanaongea vitu wasivyovijua bt mwenye swal aniulize na ii sio dini ni kanisa jaman mtofautshe din znazofahamika ni wakristo na waislam kwa tanzania siloam ni kanisa wala c dini wala dheheb

Nini maana ya siloam na vipi kuhusu hili la kukataa matibabu.
 
Labda sielewi, eti "..maiti inateswa..", navyojua mimi kitu kisicho na uhai hakisikii maumivu wala raha, hivyo kusema kuitesa maiti sielewi maana yake ni nini! Je, kuitembeza au kuisimamisha ni mateso makubwa zaidi kuliko kuifukia kwa "tani 7" za mchanga? Sielewi!

Nadhani si kuitesa bali ni "kuidhalilisha tu", mtu akisha kufa roho yake ikaacha mwili, huo mwili ni wa kuuhifadhi chini ya ardhi yaani kuuzika ukaozee huko uwe mbolea kwa mimea nk. Waumini hao wanatakiwa kuheshimu sheria ya Mungu, yaani ukizaliwa iko siku utakufa, na ukifa ni kuzikwa.
 
Tafadhali andika kitu ukiwa na uhakika usiandike kws vile unajisikia kuandika usije kujichumia laana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…