TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
Kweli ni kitru gani...??? Kwea mujibu wa nani...? Tunakubaliana wapi kuwa hii ndo kweli...??
Mambo ya rohoni ni yapi...? Nitajie japomatano...Hiyo kweli uliyoipata yaweza kuwa inatokana na udanganyifu wa moyo wako maana kama unayabeza mambo ya rohoni hiyo kweli ya Mungu unaipataje? Kumbuka Mungu ni Roho.
Hilarious....Mwamini Bwana Yesu kuwa ni Mungu na kwamba aliacha utukufu wake Mbinguni na kukubali kuzaliwa kama mwanadamu ili afe na kuchukua adhabu ya dhambi zako. Huyu Yesu alifufuka na alirudi Mbinguni kwa babaye. Sasa, muombe atakujulisha inakupasa kufanya nini.
Otorong'ong'o, Mwamini Bwana Yesu kuwa ni Mungu na kwamba aliacha utukufu wake Mbinguni na kukubali kuzaliwa kama mwanadamu ili afe na kuchukua adhabu ya dhambi zako. Ukubali pia kuwa wokovu unapatikana kwake tu, sio kupitia kwa nabii, mtume, bikira mtakatifu, Mohamed au kitu chochote kile.
Hujauelewa huu mjadala, mimi sizungumzii taasisi au mtu, kinachozungumzwa hapa ni kwamba kwenye uislam hakuna mahedhebu, full stop, sasa ukianza kuniambia habari za ISIS, BAKWATA au AL-QAIDA nenda kawaulize wenyewe kwa maana hizo ni taasisi ambazo kila moja inamalengo yake.
Acheni kufanya mambo ya kawaida magumu. Yesu alituweka huru bila masharti yoyote,alijitoa kwa hiari yake bila masharti yoyote akalipa garama ya dhambi na kufuta dhambi kwa wamwaminio.
Yesu alisema kumkubali tu unakua huru na dhambi,unakua huna hatia na dhambi. Hakuna dhambi duniani yesu alishafuta zote.
Mambo ya rohoni ni yapi...? Nitajie japomatano...
Nakusubiri..
Hiyo kweli uliyoipata yaweza kuwa inatokana na udanganyifu wa moyo wako maana kama unayabeza mambo ya rohoni hiyo kweli ya Mungu unaipataje? Kumbuka Mungu ni Roho.
Inaelekea umedakia njiani majibu yangu kwa maelezo yaliyotolewa kwenye #106 . Sasa kama kuna mtu anaunga mkono kubezwa kwa makanisa ya 'kiroho' kama alivyoiweka Ms.Lincoln nadhani huo utakuwa ni upotoshaji. Kama wewe sio mtu wa rohoni hata nikikuambia hayo mambo ya rohoni hutayaelewa.

Mwamini Bwana Yesu kuwa ni Mungu na kwamba aliacha utukufu wake Mbinguni na kukubali kuzaliwa kama mwanadamu ili afe na kuchukua adhabu ya dhambi zako. Huyu Yesu alifufuka na alirudi Mbinguni kwa babaye. Sasa, muombe atakujulisha inakupasa kufanya nini.
Nadhani hata wewe hukuuelewa mjadala. Nikukumbushe, mjadala ulihusu siloam church, ukristo mmeuletaje kwenye mjadala. Siloam sio wakristo imekuwaje mmewaunganisha na wakristo. Hao majangiri wanaovaa kofia ya uislam mbona husemi mnapatana nao katika mambo gani maana wao wanaua watu, kwa kutumia maandiko ya kitabu chenu na wanadai kuutetea uislam. Kuniambia nikawaulize ni kujaribu kukwepa ukweli kuwa dini yenu ni katili mno, mnaua hovyo.
Kweli haitafutwi kwa kuhama makanisa bali inatafutwa kutokana na nia ya ndani ua kumjua Mungu na Neno lake na kulitenda pasipo sahau kumwomba akusaidie....Sidanganyiki ng'oo! Wala simtuzi muhubiri jukwaani.
Kweli haitafutwi kwa kuhama makanisa bali inatafutwa kutokana na nia ya ndani ua kumjua Mungu na Neno lake na kulitenda pasipo sahau kumwomba akusaidie....Sidanganyiki ng'oo! Wala simtuzi muhubiri jukwaani.
Hujauelewa huu mjadala, mimi sizungumzii taasisi au mtu, kinachozungumzwa hapa ni kwamba kwenye uislam hakuna mahedhebu, full stop, sasa ukianza kuniambia habari za ISIS, BAKWATA au AL-QAIDA nenda kawaulize wenyewe kwa maana hizo ni taasisi ambazo kila moja inamalengo yake.
soma hapa anavyomuita ......Mjumbe wa mapenzi ya Mungu AD2 MUNGU wa majeshi ....... anaitwa mungu wa majeshi! mtu akiishakutoa kwenye Biblia tu umepoteza dira. Mimi mtu yeyote ashike Biblia yake nami yangu tuombe ukianza sijui majini mahaba sijui nabii nani hatuelewani