Siloam church

Siloam church

Naomba nieleweshwe mambo yafuatayo nipate kujifunza.

kalenda yao inatoka wapi?

Kwanini wanabadili majina?

Yule Nabii wao alitoa wapi mamlaka?

Je kubadili cover kwenye bibilia kunabadili nini?

Ile picha ya nabii akiipaasijui Mbona kama ni photoshop, nisaidieni ata video

Mm sio muumini wao,ila hiyo kalenda yupo sahihi katika majina ya miezi kiBiblia ila kwenye idadi ya siku amechemka kidogo,hii kalenda ya kawaida tunaitumia sasa ni ya pope Gregory Xlll ya karne 17 alieiondoa kalenda yenye majira sahihi ya kanisa na kuweka ya kwao walioipanga wenyewe kulingana na Miungu ya Roma,na kwa matukio yao.Soma kuanzia Mwanzo hadi kwenye kitabu cha Zekaria utayapata majina ya miezi
 
Ebana eeeeeh!!
soma hapa anavyomuita ......Mjumbe wa mapenzi ya Mungu AD2 MUNGU wa majeshi ....... anaitwa mungu wa majeshi! mtu akiishakutoa kwenye Biblia tu umepoteza dira. Mimi mtu yeyote ashike Biblia yake nami yangu tuombe ukianza sijui majini mahaba sijui nabii nani hatuelewani
 
Hizi imani ni za hatari.....
 
tatizo wewe huelewi toka mwanzo wakati wa mitume imani ilikuwa moja ila kulikuwa na makusanyiko ktk nyumba tofauti na hii ndo inatakiwa siyo watu wako maelfu hawajuani kila mtaa eneo kulikuwa na kusanyiko mfano kanisa la Louse mamaake Timotheo na pia ukisoma vizuri kuikuwa na makusanyiko kikabila mf wayunani, kanis ala efeso, filipi, korintho hii ni kutokana na mila umbali na desturi lakini wakiamini kitu kimoja. Sasa hivi kuna Biblia ndio muongozo yoyote anayefuata Biblia na kuamini Yesu alimuokoa ni sahihi ila kuna izi imani za Yesu ni nabii, mara Yehova pekee, mara hakuna utatu ktk Mungu hapo kuna walakini.

Dhehebu maana yake ni tawi la dini lenye tofauti ya kiimani na tawi lingine la kidini.Ukiambiwa madhehebu tofauti ndio maana yake. Sio vikundi vyenye majina tofauti vyenye ,viongozi tofauti lakini imani ya aina moja.Ukristo uko wa madhehebu mengi yasiyofanana kuna wakatoliki,walutheri,wasabato,wapentekoste,wakoptic,hao sloamu,wayehova witness,akina kibwetere n.k hayo ndio yanaitwa madhehebu.Na ukristo ndio dini pekee yenye madhehebu mengi duniani kuliko uislamu na dini zingine.
 
Ni kweli usemayo ila haimaanishi ndiyo tutende dhambi sababu Yesu alikuja tuokoa na dhambi na kutusafisha...tazama hii
<< 1 Yohana 1 >>
8
Tukisema kwamba hatuna dhambi, tunajidanganya wenyewe na ukweli haumo ndani yetu. 9 Lakini tukiziungama dhambi zetu, basi Mungu ni mwaminifu na mwadilifu, naye atatusamehe dhambi zetu na kututakasa na uovu wote. 10 Tukisema kwamba hatujatenda dhambi, tutakuwa tumemfanya Mungu mwongo, na neno lake halimo ndani yetu.

SASA NASHINDWA KUKUELEWA UNAPOSEMA HAPO KWENYE RED...hivyo usidangaye watu kwamba hakuna dhambi hebu tazama hii tena Mwanzo 4 : 7 Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.

Hivyo tambua tu kwamba dhambi ipo na tunapaswa kuishinda na kutoitenda tena..ila cha kushukuru ni kwamba Bwana Yesu alikuja kutupatanisha na Mungu sisi tuliowakosefu. Hivyo Yesu alikuja kutupatanisha na kutuweka huru mbali na Dhambi na sisi hatuna budi kuishinda dhambi lakini pasipo Roho Mtakatifu hatuwezi maana hii miili yetu hushindana na Roho zetu.

Ufunuo 2:5 Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.

Sasa kama dhambi haipo kwa nini twaambiwa tutubu? Ndio maana maana katika kutubu kwetu tuna kakutaja jina la Yesu Kristo.

chochote tukifanyacho yesu alishalipa garama yake,iwe dhambi au sio dhambi Yesu alishalipa gharama yake,hakuna kitu kinaitwa dhambi. Ukisema dhambi ipo ina maana unakataa kwamba Yesu hakufa msalabani na wala hakuja kwa ajili ya dhambi za wana damu

Yohana 15:3 iansema hakuna upendo mkuu namna hii,mtu kujitoa nafsi yake kwa ajili ya rafiki zake
Yesu alishajitoa kwa ajili yetu ili tuwe huru na dhambi. Mwana akiwaweka huru mnakua huru kweli kweli,tuko huru na kila kitu.

Nampenda Yesu.
 
Dhehebu maana yake ni tawi la ukristo dini lenmye tofauti ya kiimani na tawi lingine la kidini.Ukiambiwa madhehebu tofauti ndio maana yake sio vikundi vyenye majina tofauti vyenye ,viongozi tofauti lakini imani ya aina moja.Ukristo uko wa madhehebu mengi yasiyofanana kuna wakatoliki,walutheri,wasabato,wapentekoste,wakoptic,hao sloamu,wayehova witness,akina kibwetere n.k hayo ndio yanaitwa madhebu.Na ukristo ndio dini pekee yenye madhehebu mengi duniani kuliko uislamu na dini zingine.
labda nikitumia hili neno Imani ndio utaelewa dhehebu nimekwambia linakuja kutokana na mila, desturi au umbali lakini imani ni moja, ndo maana hap tunasema hawa sio waKristo kwasababu hawaamini ktk Kristo period hayo mengine siyo muhimu ndio maana nyaraka za mitume kwa makanisa tofauti zilikuwa ziki address issues kiutofauti na mila zao. Na hata Ufunuo kutoka kwa Mungu mwenyewe anayatambua makanisa madogomadogo ambayo hata hayakuwahi tajwa kwenye Matendo...... nguzo yetu moja ni Upendo huo huvumilia yote.
 
Dhehebu maana yake ni tawi la dini lenye tofauti ya kiimani na tawi lingine la kidini.Ukiambiwa madhehebu tofauti ndio maana yake. Sio vikundi vyenye majina tofauti vyenye ,viongozi tofauti lakini imani ya aina moja.Ukristo uko wa madhehebu mengi yasiyofanana kuna wakatoliki,walutheri,wasabato,wapentekoste,wakoptic,hao sloamu,wayehova witness,akina kibwetere n.k hayo ndio yanaitwa madhehebu.Na ukristo ndio dini pekee yenye madhehebu mengi duniani kuliko uislamu na dini zingine.

''uko sahihi kwa mujibu wa ukristo'' lakini kwa mujibu wa uislam kwenye uislam hakuna madhehebu.
 
Sijauliza uislam kwa sababu najua uislam hauna madhehebu.
Ila kama unayafahamu naomba unitajie.

Uislamu nao una madhehebu yanayotofautiana kiimani ila sio mengi kama wakristo.Hata hapa Tanzania yapo.Na mengi ni ya zamani sana miaka ya huko nyuma sana tofauti na ukristo ambamo kila siku madhehebu yenye imani mpya huibuka.
Kwa lugha rahisi madhehebu ya kiislamu kuna wale akina Answar SUNNA na wale akina BAKWATA.Pia kuna mabohora,makadiani n.k
Ukifikia kwenye mfungo wa ramadhani kwa mfano ndio utajua kuwa kuna madhehebu ya kiislamu Tanzania pia yanayotofautiana.
 
chochote tukifanyacho yesu alishalipa garama yake,iwe dhambi au sio dhambi Yesu alishalipa gharama yake,hakuna kitu kinaitwa dhambi. Ukisema dhambi ipo ina maana unakataa kwamba Yesu hakufa msalabani na wala hakuja kwa ajili ya dhambi za wana damu

Yohana 15:3 iansema hakuna upendo mkuu namna hii,mtu kujitoa nafsi yake kwa ajili ya rafiki zake
Yesu alishajitoa kwa ajili yetu ili tuwe huru na dhambi. Mwana akiwaweka huru mnakua huru kweli kweli,tuko huru na kila kitu.

Nampenda Yesu.

Wewe nawe ni Mhubiri wa Uwongo, uhuru unaousema ni upi? Je wanaowakata albino viungo vyao na kuwauwa nao wako huru kufanya hivyo? Wazinzi nao wako huru kufanya hivyo? Matajiri waliopata utajiri kwa njia za kishirikina nao wako huru katika maisha yao?

Ndugu acha kupotosha kwa ujinga wako, soma Biblia vizuri uelimike ujinga ukutoke kuhusu uhuru unaozungumziwa kwenye Bible.
 
tafadhari, wenye maswali juu ya yote yanayoendelea au kufanyika pale madhabahu kuu siloam, mimi nawashauri muchukue hatua ya kwenda pale na kujionea wenyewe kwa macho yenu, pia kuuliza pale pale kwa usilolijua pale kuliko kujitafutia laana isiyo na sababu kwa maneno ya dharau juu kinachofanyika katika madhabahu ya mungu wa eliya. Maana imeandikwa, apandacho mtu ndicho atakacho vuna~ galatia 6:7-8.

jibu hoja msituletee imani za manabii wa uongo mkitutisha na laana halaaniwi mtu hapa,ukweli mnaujua mnauchepusha,mtu anajipa jina la mungu nanyi mnamuabudu kwa vipi.geukeni muifuate njia ya kweli mnapotoka.
 
Naomba nieleweshwe mambo yafuatayo nipate kujifunza.

kalenda yao inatoka wapi?

Kwanini wanabadili majina?

Yule Nabii wao alitoa wapi mamlaka?

Je kubadili cover kwenye bibilia kunabadili nini?

Ile picha ya nabii akiipaasijui Mbona kama ni photoshop, nisaidieni ata video

siku hizi dini ni deal watu wameamua kuanzisha makanisa yao ili wapige ela.
 
Msabato na mkatoliki wana imani moja?
Sloam na waangilikana wana imani moja?
Kibwetere na wapentekoste wana imani moja?
mimi sifahamu kuhusu hayo madhehebu mengine hadi niambiwe kitu na nione kiko tofauti na Code of Conduct (Bible) ndio nitafahamu na kuwaeleza mengineyo UKristo ni kuvumiliana na kunia mamoja basi
 
Basi usilolijua ni kama usiku wa giza na litakusumbua.Ni homework hiyo, na wewe kalifanyie kazi.
hahaaaaaa ulinitega tu..... kifupi sisi tuko inclusive sana na tunafikiri ktk upendo tunaweza kufundishana na kuonyana tukafika pamoja kuliko wengine wanaowaita wenzao kafiri na kuwaua ukienda sivyo tunaambiana tu vinginevyo ni ndugu usone tofauti ndogndogo tunaamini kitu kimoja pamoja na mapungufu yote. Nimekaa maeneo mengi na ktk hayo kwingine hata Mkristo mmoja hakuna na dhehebu fulani hakuna ivyo nimejifunza mengi sana kuhusu madhehebu. naomba niishie hapa
 
Back
Top Bottom