Silly things househelps do

Silly things househelps do

Nilimpata wa hivi, nilikaa nae mwezi mmoja tu, fasta nikampandisha saratoga kumrudisha kigoma, huyu ikifika saa kumi na moja jioni ndo anaanza kuchacharika, unakuta nyumba chafu, vyombo havijaoshwa, hajapika, wala hajui aanze na lipi amalize na lipi, kazi kweli kweli

Kuna wale wa kuangalia TV ful day, its okay to watch after kumaliza kazi,ila inakuwa too much pale unakuta kazi hazijafanyika kumbe ful day kana spend watching TV,Movie n Music, mpaka jirani walipokuja kunitonya kwa kuniuliza hivi kuna movie theatre au disco hapo home kwangu..
 
Sijui kwanini wadada wengi wa kazi hawapendi kuoga! Huwa najiuliza sipati jibu, kuoga nako tunalazimishana, wakwangu nilimwambia kutandika shuka ni siku 3 tu unalitoa, unatandika lingine coz siku nyingine unalala na mtoto, usimpomkumbusha kubadilisha linalaliwa hata wiki


Kutopenda kuoga ni kama ugonjwa kwa wengi wao,usipokuwa mkali haogi kweli.
Mi namwambiaga zunguka uwezavyo lakini bafuni utaingia tu!
 
Lakini nyie kana dada, wachumba, wamama na wake zetu hivi hawa wadada wangekuwa hivi mnavyotaka wawe kweli mngeweza kuwaweka hapo ndani yeye ahenye siku nzima halafu wewe unaenda kupalilia pasture yako!!!!!

Tofauti hizo ndio lock and key phenomena !!!!!!!
 
Aahahahhh hii imenikumbusha, siku hiyo nilirudi nyumbani ghafla mchana, lol! namkuta mdada wametenga chakula mezani wanakula na njemba, bado nashangaa yule njemba sijui hata alichomokea wapi, kilichofuata nilimwambia afungashe kila kilicho chake, jioni nikaenda kumkabidhi kwa kondakta wa basi, nikapiga simu kijijini wakampokea wakamrudisha kwako, wadada ni pasua kichwa aisee


pole....siku nyingine ungemkuta wanagegedana live kwenye bed lako au sofa na Bf wake ungefanyaje sijui
 
kuna mjamaa hapa ananiambia house boy wake aliugua tumbo baada ya kula soseji kwa mara ya kwanza
 
Katika mambo ambayo sifagilii ni interaction ya dada na majirani. Kila nyumba ina formula yake na the minute hizi interactions zinaanza, everything has been compromised. Ndo mpaka kukanda maandazi kwa jirani? Watoto walikuwa wapi?

hapo upo kama mimi. kinachonikuta wadada kwangu hawakai ukiondoa nina watoto ambao wamepishana umri kidogo sasa kuwaangalia ni issue,kikubwa mazingira ninayoishi ni kijijini sasa kwa wadada ambao wamezoe kutembea hakuna ni home tu...akikaa miezi 3 au 6 Anaaga mwenyewe...
Karucee usitegemee ndugu nimetumia gharama kubwa kukaa nao kwa kusomesha but wakizoea wanaona ndio wamefika majukumu hawatekelezi.... nikawaambia ukimaliza shule safari...
 
Last edited by a moderator:
Aahahahhh hii imenikumbusha, siku hiyo nilirudi nyumbani ghafla mchana, lol! namkuta mdada wametenga chakula mezani wanakula na njemba, bado nashangaa yule njemba sijui hata alichomokea wapi, kilichofuata nilimwambia afungashe kila kilicho chake, jioni nikaenda kumkabidhi kwa kondakta wa basi, nikapiga simu kijijini wakampokea wakamrudisha kwako, wadada ni pasua kichwa aisee

kuna mmoja aligoma kula siku tatu eti anataka kwenda kwao alikaa mwezi. binti nililetewa na babangu mdogo...sasa shemegi yako akanijulisha maana nilikuwa safari...siku nikarudi usiku,ilivyofika saa 11 asbh akaamshwa na safari ikaanza kurejeshwa kwa alituletea bagamoyo...pekupeku....na kimfuko cha rangi...
 
Back
Top Bottom