Silly things househelps do

Silly things househelps do

Hehehe dah kweli hawa watu ni shughuli.

1. Alimfinyaga kaka yangu mpaka akatoka ngozi, tulikuwa around 4yrs at the time. Ilibidi aondoke tu pamoja na kwamba ni majirani kijijini.
2. Huyu ye hakuwa na matatizo kiviile, ila alikuwa anapika ugali na mafuta. Watu wanasifia ugali laini, mtamu kumbe mwenzetu ana 'secret recipe'.
3. Mariam siwezi kumsahau. Alitulazaga njaa mimi na kaka yangu. Kulikuwa na msiba nyumbani(kijijini) kwahiyo tukabaki na dada. Dada kuona mama kaondoka akajituliza zake na tv bila presha. Mpaka giza linaingia hajapika. Wakati anajifanya anataka kupika umeme hamna, mafuta ya taa hamna ila kuna mkaa na yeye hapendi kutumia mkaa. Mafuta hawezi kwenda kununua kwasababu dukani ni mbali alafu kunatisha (Sakina zamani hizo wanakaa wamassai zaidi kabla hapajawa mjini). Akatubembeleza " ohhh laleni alafu kesho, ntawapa MKATE MKUBWA asubuhi". Mpaka saa nne siku ya pili hatujaona chai. Aunt yetu mmoja alivyokuja kutucheki akakuta tumelegea legea, kuuliza tukamwambia hatujaona msosi tangu jana na mkate mkubwa wa ahadi bado hata kununuliwa akamchapa makofi. Mama alivyorudi akatimuliwa.
4. Paulina was the best. Yani huyu dada alikuwa kama ndugu jinsi anavyotu-treat na anavyo-treat-wa. Alikuja kuondoka baadae sana alipopata mchumba.
5. Aisee huyu alikuwa shughuli. Alitembea na mlinzi wetu ambae baadae walikuja kuoana (nadhani bado wako pamoja) ila kabla ya hapo alitembea na uncle wangu ambae kwake njia kuu huwa anatumia kama hana haraka. Walikuwa wasanii kishenzi. Huyo uncle akija nyumbani kila tukitoka hata kwenda kula ye hatoka. Anajidai anataka kupumzika maana kachoka na safari au hajisikii vizuri kumbe anataka kuchepuka.

6. Nadhani akili zilikuwa zinaenda race. Kwanza majibu yake tulikuwa tunakauka mbavu. Siku moja aliulizwa "hivi dada unaogaga saa ngapi? Maana hatujawahi kukuona ukioga." akajibu ye anaogaga GHAFLA GHAFLA. Yani haipi kwenye ratiba yake, mpaka itokee kalazimika. Alikuwa na katoto kadogo, tukirudi kutoka shule tunakuta kamelala chini ya kitanda. Alikuwa anamfunga na kanga mguuni alafu anaifunga kwenye mguu wa kitanda eti ili asimsumbue akiwa anafanya kazi. Mwenyewe alikuwa anasema "nimempiga kudu" tukimuuliza mtoto yuko wapi. Kilio cha mtoto wake kilikuwa hakimsumbui hata kidogo maana akichoka "atalala".
7. Hehehehe huyu alikuwa funga kazi. Kwanza alikuwa analala mpaka hata saa nne. Akiulizwa anajibu "mbona nyie mmelala.?" Then vitu vikaanza kupotea kwanzia kalamu, madaftari(mapya) , soksi zilizovaliwa, nguo na kanga. Wanafunzi ndio tulikuwa tunaulizwa kuhusu kalamu na madaftari maana ilionekana tumezidisha matumizi sasa either tunapoteza sana kwahiyo tunachukua vipya kiwizi bila taarifa au tunagawia marafiki. Nguo tunabaki kuulizana tu nani kaona, nani kaona. Siku anaondoka begi limejaa mpaka halifungi mama akamuomba tuone 'yaliyomo' ndio tulichoka. Yani kama katoka shopping. .vingine vya spesho na vingine vya mtumba. Jibu lake,alikuwa anawakusanyia wadogo zake kijijini.
 
Hahaha,hyo ya kujaribisha nguo za watu imenikumbusha kipindi niko boarding beki3 anafukunyua kabati anatinga viwalo vyangu weee hadi wamama wa street ndo wakamstua mama akampiga stop,
-mwingine alikuwa analewa kistaarabu (km bia 3 au 4 )mchana afu analala,anaamka kupika sa 12 jioni
-mwingine alikuwa anaflirt na shamba boy anaengalia ng'ombe,basi anamkaribisha ndani na anampelekea chai sebuleni kama wapo kwao vile,
-mwingine alikaa siku 2 akakomalia kusepa kisa tunaondoka anabaki mwenyewe siku nzima,
-huyu mwingine house boy,hana kituko wala shida yoyote,kazi zotee anafanya, lakini alikuwa hakasiriki jmn,tumekaa nae almst 3 yrs ye ni wa kucheka tu
ila wanasaidia sana hawa,ukirudi home u got a chance walau to relax

Hahahaha. Lols. Umenikumbusha nimekuwa na houseboy wawili. Mmoja ELia wa Iringa. He has very nice big brown eyes. Nahisi ze hazband aliona hatari flani. He was very musculuar.

Akaja Moze. Jamani kumbe ni cha pombe. siku ya siku tumemkuta kakaa sebuleni kachoma nyama anakula na bia huku amekubatia tu dame tuwili. lol!
 
COPY N PASTE

Anna Nyangasha posted in Mamaz TanzaniaAnna Nyangasha10:04am-Apr 2Hallow mamaz mpooo,jaman nina story ya kusikitisha imemtokea rafiki yangu,najua atajisikia vibaya akiiona nimemuandika humu but naomba anisamehe sana kwani wamama tunahitaji kujifunza kwa hili lililomtokea yeye sorry for that my dear .Yeye ana watoto wawili,wa kiume ambaye yuko darasa la tano na mwingine mdogo miaka miwili,ni mfanyakazi na ni mfanyabiashara pia kwahiyo mara nyingi sana akitoka kazini,anafanya shughuli zake za biashara inshort ni mama ambaye yuko busy sana kwa kweli.Mumewe anafanya kazi migodini hivyo mara nyingi nyumbani huja weekend,kwahiyo mara nyingi housegirl ndo mlezi wa nyumba na watoto.Kumbe housegirl huyo ni mshenzi sana kwa ule uhuru alionao na watoto kamgeuza huyo mtoto wa kiume mume wake maana kila akijisikia anamwambia mtoto amshughulikie maana kashamfundisha na pia anaaangalia nae picha za ngono bila mama kujua maana hana muda yuko busy na mambo yakekumbe mtoto alishazoea kutokana na mafundisho ya dada,na akaona ni kitu cha kawaida mpaka kaanzisha mchezo huo shuleni.siunajua mambo ya shule,darasani akapata ka binti na yeye akakageuza mke,sasa kumbe kale kabinti hakapendi anakalazimisha wanafanyia chooni just imagine its so sad,anakaletea zawadi,mwisho kakashindwa kuvumilia ikabidi kamwambie madam,mhh madam akashtuka ikabidi aweke mtego,muda ambao yule wa kiume anamwambia aende chooni nae akamfata akamwambia asiogope atakuwa amejificha akamtaarifu na madam mwingine,wakamkamata akiwa kwenye harakati zake kama alivyozoea kweli inaumiza jaman aaaaah.Sasa ndo kumkamata yule wa kiume na ikabidi watoe taarifa kwa head wa shule,kumuuliza mtoto wa kike akasema anavyomvizia akienda choooni na vile vizawadi anavyompa,wa kiume nae akachapwa sana mpaka akasema ni dada ndo anamfundisha na anafanya nae just imagine,walimu walikuwa shocked sana ikabidi wazazi sasa waitwe yaan walitoa machozi.Ni mchezo ambao dada alimuanzishia mtoto muda mrefu sana na mpaka mtoto akazoea,kwahiyo akitoka shule kama mama hajarudi dada anaweka picha za ng
ono wanaangalia kwahiyo anamwambia unaona yule anavyofanya na wewe nifanyie hivyo hovyo na mtoto anafanya,dada anamwambia tamu sana huku analalamika lalamika,mpaka dada alizike ndo anamwambia bac halafu anambusu anamwambia nakupenda sana.Pia huwa anamnyonya dudu yake inasimama ndo anaiingiza kwa dada sasa.Jaman ni maneno mengi sana mtoto alikuwa akiongea siwezi hata kuyafupisha kuyaweka humu,anasema hata usiku dada huwa anamfata chumbani kwake wakati mama akiwa amelala wanafanya,baba akiwepo hawafanyi maana baba huwa anaaamka amka usiku atawasikia hila mama analala sana hawezi kusikia mpoo hapo mamaz.Mama alichanganyikiwa akasema anaenda kuua mtu,jaman housegirl alipokea kipigo sijawahi ona,baba mtu alivyopata taarifa ilikuwa balaa wakajua ataua mwenzangu ndo kupigiwa sim kwenda nyumbani kwa huyo rafiki yangu yaan kashapiga msichana mpaka bas hila na mimi nilisaidia kupiga yaan housegirl wala hajitii alichofanya tunapiga hata chozi halitoi tena linatuangalia kwa dharau.baadhi ya majirani waliokuja maanawalisikia vurugu wakatushauri tulipeleke polisi ndo kulipelekaMtoto kuulizwa kwanini hakusema anasema mama huwa anarudi amechelewa kwahiyo anashindwa na pia mama anampenda sana dada,anamsifia anawapenda sana watoto,ni msafi na mchapakazi hivyo asingemuamini upo hapo.mtoto tayari ameathirika kisaikolojia na yuko kwenye matibabu.Ebu tujiulize wamama tuna muda na watoto au ndo ubusy wa kutafuta hela,hizo hela unawatafutia kina nani???watoto wameharibiwaUna muda wa kuwauliza watoto kinachoendelea,unalala fofofo hata hujui ni nini kinaendelea ndani b aiseeebu wamama tubadilike kwa ajili ya uzembe wako wewe kama mama umemuathiri mtoto wako na mtoto wa mwanamke mwenzio kale kabinti,E bu turekebike jamanAsanteni
Ni ndefu but soma ukiweza
 
Nimeipenda hii mada nami nina visa vyao vingine ni most recent kabisa
Mmoja ilikuwa kila tukimaliza kula na kutumia toothpick yeye anazirudisha for reuse !mtoto ndio alikuja gundua

Mwingine alichukukua xpel dawa ya mbu akajipulizia kama pafyume

Hiii ni mwezi uliopita tu
Alikuja mgeni nikamuita dada amhudumie kinywaji chochote ,mgeni akataka soda ya tangawizi
Mara tukaona dada kaweka kwenye sahani kisu kidogo kipande cha tangawizi na maji ya kunawa mikono

Mwingine alikuwa na appetite ya kufa mtu na ukimpa apike nyama hakikisha unaongeza na nusu kilo ya kuonja la sivyo mtakula na mchuzi tuu ,na akishatenga chakula kama mkichelewa dk moja tu mnamkuta mwenzenu keshajipakulia tena lumbesa

Huyu mwingine yeye alikuwa mwanga hakai kwenye kochi anakaa chini kwenye pembe halalu na nguo na alikuwa analala uchi wa mnyama alikuwa anakula ugali pekeyake halafu mboga pekeyake alikuwa hapendi kabisa nyimbo za dini
Ulimchungulia? lol
 
Hao wa hivyo tushawazoea kuna huyo mmoja me nilipata ni balaa tumekubaliana vizuri amekuja siku ya pili tu asubuhi akaaga anaenda kanisani me nikamjibu sawa, nikajua ndo zile misa za asubuhi na kanisani si mbali na nyumbani so kwanini nimnyime uhuru wa kuabudu.

Aisee alirudi saa moja jioni, kumuuliza ananielekeza kanisa aliloenda na kwamba yeye kaokoka, duh sasa nikawa namuuliza wewe mgeni umejuaje kanisa la mbali vile, hakuwa na jibu, nilimsamehe huwa sipendi kumkosesha amani mdada.

Siku ya pili bila aibu kaniaga tena, sikutaka kumkatalia nikajua may be atawahi leo, na hapo anavyoondoka inakuwa saa kumi na moja na nusu au saa kumi na mbili, hafanyi kazi hata moja. Jamani! Karudi tena saa moja jioni sikumsemesha na akifika anaingia jikoni anaangalia chakula then anapumzika.

Iliendelea hivyo wiki nzima, nikashindwa mwenyewe, siku hiyo ananiaga nikamwambia beba na nguo zako uende nazo maana huna unachonisaidia labda ulitaka sehemu ya kukaa tu, na kama ni hivyo bora ungeniambia mapema niamue ukae au usikae, akalia lia pale ila mwisho wa siku akaondoka

Una moyo.

A whole week?

Ukawa huendi kazini au?
 
Daaa umunikumbusha the time being Nipo boarding walileta mdada maisha yetu ya kupanga haya akawekwa rum kwangu alivaa nguo zangu hadi alipogunduliwa was too late

Hicho kitabia cha kuweka viatu vyake nje or kweny friji mbovu ni wengi, pia kujaribisha viatu au nguo kuona kama amependeza

Wengi wanapenda kula wenyew ila ukiwa na sheria mda wa mezani ni lazima kila mtu awepo ndo utaweza kumbana cos mda wa msosi yeye ndo atajifanya yupo busy kuhamisha viatu nje, Mara nguo nk

Kuna mmoja alikuwa anapenda kula nje ama jikoni. Sipendi kabisa. Hivi mfano watu wanieleweje? Kwamba nimemfukuza ama?
 
M nakumbuka akikasirika tu atafagia mende atawamwagia kwenye mboga,akiweka mboga mezani af anawafukia mende chini,ukichota tu mboga unakutana na mende.

Mwingine kila akibeba mtoto lazima amwangushe,ukimuuliza mtoto analia nini anajibu sijui ananjaa! badae nundu inatoka unajua dogo alibwagwa.

Mwingine anaoga midawa ya kienyeji kila siku, tatizo nini,wanaume hawamuiti wala salam anatoa nuksi.akatimuliwa

Vaislay seriously badala ya kuhuzunika unaweza kujikuta anacheka. Mtoto anauma bwana weee. Kuangushawa kila mara kisa nini.

Huyo wa mende anaweza kuweka hata nnya am telling you.
 
Kutopenda kuoga ni kama ugonjwa kwa wengi wao,usipokuwa mkali haogi kweli.
Mi namwambiaga zunguka uwezavyo lakini bafuni utaingia tu!

Aingie jikoni kugusa vyombo na uchafu huo? majanga!
 
Hehehe dah kweli hawa watu ni shughuli.

1. Alimfinyaga kaka yangu mpaka akatoka ngozi, tulikuwa around 4yrs at the time. Ilibidi aondoke tu pamoja na kwamba ni majirani kijijini.
2. Huyu ye hakuwa na matatizo kiviile, ila alikuwa anapika ugali na mafuta. Watu wanasifia ugali laini, mtamu kumbe mwenzetu ana 'secret recipe'.
3. Mariam siwezi kumsahau. Alitulazaga njaa mimi na kaka yangu. Kulikuwa na msiba nyumbani(kijijini) kwahiyo tukabaki na dada. Dada kuona mama kaondoka akajituliza zake na tv bila presha. Mpaka giza linaingia hajapika. Wakati anajifanya anataka kupika umeme hamna, mafuta ya taa hamna ila kuna mkaa na yeye hapendi kutumia mkaa. Mafuta hawezi kwenda kununua kwasababu dukani ni mbali alafu kunatisha (Sakina zamani hizo wanakaa wamassai zaidi kabla hapajawa mjini). Akatubembeleza " ohhh laleni alafu kesho, ntawapa MKATE MKUBWA asubuhi". Mpaka saa nne siku ya pili hatujaona chai. Aunt yetu mmoja alivyokuja kutucheki akakuta tumelegea legea, kuuliza tukamwambia hatujaona msosi tangu jana na mkate mkubwa wa ahadi bado hata kununuliwa akamchapa makofi. Mama alivyorudi akatimuliwa.
4. Paulina was the best. Yani huyu dada alikuwa kama ndugu jinsi anavyotu-treat na anavyo-treat-wa. Alikuja kuondoka baadae sana alipopata mchumba.
5. Aisee huyu alikuwa shughuli. Alitembea na mlinzi wetu ambae baadae walikuja kuoana (nadhani bado wako pamoja) ila kabla ya hapo alitembea na uncle wangu ambae kwake njia kuu huwa anatumia kama hana haraka. Walikuwa wasanii kishenzi. Huyo uncle akija nyumbani kila tukitoka hata kwenda kula ye hatoka. Anajidai anataka kupumzika maana kachoka na safari au hajisikii vizuri kumbe anataka kuchepuka.

6. Nadhani akili zilikuwa zinaenda race. Kwanza majibu yake tulikuwa tunakauka mbavu. Siku moja aliulizwa "hivi dada unaogaga saa ngapi? Maana hatujawahi kukuona ukioga." akajibu ye anaogaga GHAFLA GHAFLA. Yani haipi kwenye ratiba yake, mpaka itokee kalazimika. Alikuwa na katoto kadogo, tukirudi kutoka shule tunakuta kamelala chini ya kitanda. Alikuwa anamfunga na kanga mguuni alafu anaifunga kwenye mguu wa kitanda eti ili asimsumbue akiwa anafanya kazi. Mwenyewe alikuwa anasema "nimempiga kudu" tukimuuliza mtoto yuko wapi. Kilio cha mtoto wake kilikuwa hakimsumbui hata kidogo maana akichoka "atalala".
7. Hehehehe huyu alikuwa funga kazi. Kwanza alikuwa analala mpaka hata saa nne. Akiulizwa anajibu "mbona nyie mmelala.?" Then vitu vikaanza kupotea kwanzia kalamu, madaftari(mapya) , soksi zilizovaliwa, nguo na kanga. Wanafunzi ndio tulikuwa tunaulizwa kuhusu kalamu na madaftari maana ilionekana tumezidisha matumizi sasa either tunapoteza sana kwahiyo tunachukua vipya kiwizi bila taarifa au tunagawia marafiki. Nguo tunabaki kuulizana tu nani kaona, nani kaona. Siku anaondoka begi limejaa mpaka halifungi mama akamuomba tuone 'yaliyomo' ndio tulichoka. Yani kama katoka shopping. .vingine vya spesho na vingine vya mtumba. Jibu lake,alikuwa anawakusanyia wadogo zake kijijini.

Lizzy yours were a handful! lol. Pole mwaya.
 
COPY N PASTE

Anna Nyangasha posted in Mamaz TanzaniaAnna Nyangasha10:04am-Apr 2Hallow mamaz mpooo,jaman nina story ya kusikitisha imemtokea rafiki yangu,najua atajisikia vibaya akiiona nimemuandika humu but naomba anisamehe sana kwani wamama tunahitaji kujifunza kwa hili lililomtokea yeye sorry for that my dear .Yeye ana watoto wawili,wa kiume ambaye yuko darasa la tano na mwingine mdogo miaka miwili,ni mfanyakazi na ni mfanyabiashara pia kwahiyo mara nyingi sana akitoka kazini,anafanya shughuli zake za biashara inshort ni mama ambaye yuko busy sana kwa kweli.Mumewe anafanya kazi migodini hivyo mara nyingi nyumbani huja weekend,kwahiyo mara nyingi housegirl ndo mlezi wa nyumba na watoto.Kumbe housegirl huyo ni mshenzi sana kwa ule uhuru alionao na watoto kamgeuza huyo mtoto wa kiume mume wake maana kila akijisikia anamwambia mtoto amshughulikie maana kashamfundisha na pia anaaangalia nae picha za ngono bila mama kujua maana hana muda yuko busy na mambo yakekumbe mtoto alishazoea kutokana na mafundisho ya dada,na akaona ni kitu cha kawaida mpaka kaanzisha mchezo huo shuleni.siunajua mambo ya shule,darasani akapata ka binti na yeye akakageuza mke,sasa kumbe kale kabinti hakapendi anakalazimisha wanafanyia chooni just imagine its so sad,anakaletea zawadi,mwisho kakashindwa kuvumilia ikabidi kamwambie madam,mhh madam akashtuka ikabidi aweke mtego,muda ambao yule wa kiume anamwambia aende chooni nae akamfata akamwambia asiogope atakuwa amejificha akamtaarifu na madam mwingine,wakamkamata akiwa kwenye harakati zake kama alivyozoea kweli inaumiza jaman aaaaah.Sasa ndo kumkamata yule wa kiume na ikabidi watoe taarifa kwa head wa shule,kumuuliza mtoto wa kike akasema anavyomvizia akienda choooni na vile vizawadi anavyompa,wa kiume nae akachapwa sana mpaka akasema ni dada ndo anamfundisha na anafanya nae just imagine,walimu walikuwa shocked sana ikabidi wazazi sasa waitwe yaan walitoa machozi.Ni mchezo ambao dada alimuanzishia mtoto muda mrefu sana na mpaka mtoto akazoea,kwahiyo akitoka shule kama mama hajarudi dada anaweka picha za ng
ono wanaangalia kwahiyo anamwambia unaona yule anavyofanya na wewe nifanyie hivyo hovyo na mtoto anafanya,dada anamwambia tamu sana huku analalamika lalamika,mpaka dada alizike ndo anamwambia bac halafu anambusu anamwambia nakupenda sana.Pia huwa anamnyonya dudu yake inasimama ndo anaiingiza kwa dada sasa.Jaman ni maneno mengi sana mtoto alikuwa akiongea siwezi hata kuyafupisha kuyaweka humu,anasema hata usiku dada huwa anamfata chumbani kwake wakati mama akiwa amelala wanafanya,baba akiwepo hawafanyi maana baba huwa anaaamka amka usiku atawasikia hila mama analala sana hawezi kusikia mpoo hapo mamaz.Mama alichanganyikiwa akasema anaenda kuua mtu,jaman housegirl alipokea kipigo sijawahi ona,baba mtu alivyopata taarifa ilikuwa balaa wakajua ataua mwenzangu ndo kupigiwa sim kwenda nyumbani kwa huyo rafiki yangu yaan kashapiga msichana mpaka bas hila na mimi nilisaidia kupiga yaan housegirl wala hajitii alichofanya tunapiga hata chozi halitoi tena linatuangalia kwa dharau.baadhi ya majirani waliokuja maanawalisikia vurugu wakatushauri tulipeleke polisi ndo kulipelekaMtoto kuulizwa kwanini hakusema anasema mama huwa anarudi amechelewa kwahiyo anashindwa na pia mama anampenda sana dada,anamsifia anawapenda sana watoto,ni msafi na mchapakazi hivyo asingemuamini upo hapo.mtoto tayari ameathirika kisaikolojia na yuko kwenye matibabu.Ebu tujiulize wamama tuna muda na watoto au ndo ubusy wa kutafuta hela,hizo hela unawatafutia kina nani???watoto wameharibiwaUna muda wa kuwauliza watoto kinachoendelea,unalala fofofo hata hujui ni nini kinaendelea ndani b aiseeebu wamama tubadilike kwa ajili ya uzembe wako wewe kama mama umemuathiri mtoto wako na mtoto wa mwanamke mwenzio kale kabinti,E bu turekebike jamanAsanteni
Ni ndefu but soma ukiweza

Sweetheart nikuambie kitu? This made me very very sad. Its like a wake up call. My son is 18 months and 2 weeks. Nimeamua kumchukua cousin yake kutoka boarding nikae nae. For his own good since wazazi wao wameshaachana na pia for my son's sake.

My little man hawezi kuongea asimulie anything bad akifanyiwa. But with his cousin around it might help things.

Hawa watoto bwana. Mungu tu awalinde.
 
kuna video moja iko mitandaoni housegirl anamseduce mtoto mdogo inasikitisha mno anamlazimisha mtoto azame chumvini kisha anampa GOTI …
 
Lizzy yours were a handful! lol. Pole mwaya.

Hehehe noma sana.

Ila kwa story kama hiyo ya Shark na nyingine za aina hiyo ntaendelea tu kukaa bila maana ukifanya mchezo hata huyo mtoto unaemuajiri aje kumuangalia ndio atakuwa wa kwanza kuathirika.
 
Last edited by a moderator:
kuna wa kwangu anaiba vyakula anapeleka kwa boyfrend wake jirani kila siku tukiwa job. Huyo bf wake kalikua kembamba kwa sasa ana shavu dodo ka paka wa hotel.Namuandalia kautaratibu kazuri kakumshughurikia.
 
Sweetheart nikuambie kitu? This made me very very sad. Its like a wake up call. My son is 18 months and 2 weeks. Nimeamua kumchukua cousin yake kutoka boarding nikae nae. For his own good since wazazi wao wameshaachana na pia for my son's sake.

My little man hawezi kuongea asimulie anything bad akifanyiwa. But with his cousin around it might help things.

Hawa watoto bwana. Mungu tu awalinde.

Husiamini hata huyo cousin wako...dunia imeharibika sasa...huyo cousin anaweza 'kumharibu' huyo son wako.

Kama kuna uwezekano, mwanao asilale na huyo cousin...kila mtu na chumba chake...dunia chafu hii mdada...

Jambo la msingi ni kuwa karibu mno na mwanao...ukaribu huo utamfanya aweze kukuambia mambo yote juu yake...jaribu kuwa unafanya naye mazungumzo ya kumpeleleza mambo yake....

Kila la kheri katika malezi...
 
Kuna mmoja alikuwa anapenda kula nje ama jikoni. Sipendi kabisa. Hivi mfano watu wanieleweje? Kwamba nimemfukuza ama?

we acha tu lazima majirani wahisi mmemfukuza mezani wangu..
mwisho wa mattizo kutana na wenye mapepo na uchawi...heeee jutamo utafanyishwa kazi usiku na yeye yupo na wachawi wenzie asbuhi ukiamka full umechoka mwili na hujui ulifanyishwa kazi usiku
ukienda kazin yeye analala
 
Like this
 

Attachments

  • 1396508217770.jpg
    1396508217770.jpg
    43.7 KB · Views: 171
Back
Top Bottom